FaizaFoxy
Platinum Member
- Apr 13, 2011
- 100,246
- 123,145
Serikalini hawana kipimo cha "performance", serikalini "performance" yako inapimwa na mashushushu walio kuzunguka. Kikulacho ki nguoni mwako.Kama mtu hapafomu sehemu inabidi atolewe kwenye mfumo sio kuhamishwa post.
Fitina, majungu, kurogana, kukandiana, unafik, kuchekeana na kupongezana kiuongo uongo ndivyo vilivyojaa kila idara ya serikali. Kila uchawi na mabaya unayoyajuwa na usiyoyajuwa wewe yapo huko.