Resilience
JF-Expert Member
- Jan 4, 2023
- 1,096
- 4,948
Serikalini ni kawaida sana watu kubadiishwa badilishwa, tena siku hizi wanachelewa sana kubadilishwa badilishwa. Hatakiwi mtu azembee sehemu moja serikalini.Moja ya jambo linalojitokeza kwenye mikeka ya uteuzi na kutumbua ni kujirudia kwa majina. Tumekuwa tunawaapisha watu walewale kila siku na hivyo hata maono yamebaki ni yale yale...
Moja ya jambo linalojitokeza kwenye mikeka ya uteuzi na kutumbua ni kujirudia kwa majina. Tumekuwa tunawaapisha watu walewale kila siku na hivyo hata maono yamebaki ni yale yale.
Je, kuendelea kuteua watu wale wale kuna tija kwa Taifa au ni tija kwa familia ya wanaoteuliwa? Je Taifa halina watu wenye capacity yakuongoza wizara?
Uchumi wenyewe uko wapi? Wangewapisha wengine CCM imeshashindwa wanabaki kuhangaika na matundu ya vyooUSerikalini ni kawaida sana watu kubadiishwa badilishwa, tena siku hizi wanachelewa sana kubadilishwa badilishwa. Hatakiwi mtu azembee sehemu moja serikalini....
Kwamba inaendeshwa Kiswahili hivyo?!USerikalini ni kawaida sana watu kubadiishwa badilishwa, tena siku hizi wanachelewa sana kubadilishwa badilishwa. Hatakiwi mtu azembee sehemu moja serikalini...
Siyo Kiswahili, Kizanaki, huo ndiyo msingi na mfumo aliouwacha Nyerere.Kwamba inaendeshwa Kiswahili hivyo?!
Yaani hii selikali haina tofauti na Timu ya SimbaKwamba inaendeshwa Kiswahili hivyo?!
Na hili ndo linaingiza mataifa mengi kwenye migogoro , watu waneshazeeka Wana miradi wanarudishwa tena kwann?Moja ya jambo linalojitokeza kwenye mikeka ya uteuzi na kutumbua ni kujirudia kwa majina. Tumekuwa tunawaapisha watu walewale kila siku na hivyo hata maono yamebaki ni yale yale.
Je, kuendelea kuteua watu wale wale kuna tija kwa Taifa au ni tija kwa familia ya wanaoteuliwa? Je Taifa halina watu wenye capacity yakuongoza wizara?
Sio 27 ,30....Wazee wanalindana sana. Sioni gen z (below 27 yrs) kila teuzi.
Sasa mbona Nyerere alikuwa habadili sana au kufanya recyclings sana?!Siyo Kiswahili, Kizanaki, huo ndiyo msingi na mfumo aliouwacha Nyerere.
Tena sasa hivi ni afadhali, tuulize gtuliokuwepo wakati wa Nyerere, hata mkeo au mumeo hamuaminiani, ilikuwa ushushushu kila mahali, siyo serikalini tu.
Serikalini ni kawaida sana watu kubadiishwa badilishwa, tena siku hizi wanachelewa sana kubadilishwa badilishwa. Hatakiwi mtu azembee sehemu moja serikalini....
Hapa kuna mtu ameshikiliwa akili yake huwa anakumbuka shuka wakati kumekuchaSasa mbona Nyerere alikuwa habadili sana au kufanya recyclings sana?!