Ford Rwahura
Member
- Apr 6, 2020
- 31
- 27
Mkuu me nimezoea kuweka free kwenye hizi gari za automatic kwenye mteremko mwepesi. Kuna madhala yoyote?Kazi ya Neutral ni nini? Niliamini ndio inatenganisha engine na matairi, lakini baada ya kutafakari na mchoro maelezo naona Ina make sense especially gari zenye shaft ya nyuma. Shaft litaendelea kuzingusha gearbox kutokana na mzunguko wa matairi.