FaizaFoxy
Platinum Member
- Apr 13, 2011
- 100,246
- 123,145
Nilivyoelewa na ukiitazama vizuri picha ya gearbox juu hapo utaona kuwa gari ikivutwa mzunguko utaanzia kwenye matairi na kuishia kabla ya oil pump. Ule mzunguko ndiyo utasababisha msuguano "friction" wa gears zinazozunguka bila kupata oil inayozuwia msuguano.ushasema gari inayovutwa.sasa gari inayovutwa itapataje moto?
Bila lubrication hata mwili kwa mwili unachubuka, fikiri chuma kwa chuma inakuwaje?