Hizo clutch zipo katikati ya backing plates na nafasi huwa ni ndogo, wewe unasimama hapa unasema Oil inayohitajika ni kidogo. Haupo serious aiseeee
Acha kujifanya mjuaji wewe.unataka kuniaminisha kuwa ukivuta gari kwanamna ninayo SEMA utaharibu nini kwamfano?
Hapa ulikuwa unaelekea kupatia katika msingi wa kutokubaliana kwenu.
Mmoja kajifunza kwa vitendo (ambaye ndiyo wewe)
Mmoja kajifunza kwa vitabu na vitendo.
Namshauri huyo wa vitendo pekee, aende akajifunze na vitabu ili awe nondo..... tena sio vitabu vya zamani. La. Soma taarifa mtandaoni, soma na zile manua za magari husika. Mshike sana elimu mazee.
Mimi nimeanza kujifunza kwavitendo nikaiva nikaenda veta.chakusikitisha hawa jamaa waveta kwenye kuelezea gari kwamaneno na maandishi huwawezi🤣njoo kwenye vitendo Sasa Hamna kitu kabisa.
nimeenda veta ikawa Kila muda wa kufanya kwavitendo Mimi ndio nilikuwa mwalimu wao naachiwa nawaelekeza jinsi yakufunga na kufungua walikua hawajui hatawale nilio wakuta wana miaka miwili pale veta.
Tena bora hawa wamechanics waumeme ndio ziro kabisa hawajui chochote.
Sasa huyu kaenda kugugo ndio anakuja kutudanganya humu wakati magari anayo yasemea tumeyavuta sana nahayaharibiki giabox.
kwanza gari za auto ukiweka oil lazima uiwashe usipo iwasha kama inaingia Lita tisa ukiweka saba oil itaanza kumwagika ikiashiria imejaa kumbe sio kweli.
Kwahio inabidi uiwashe gari ndio umalizie oil iliyo bakia ndio oil ikae levo.
unaweza kujiuliza kwamba Kwahio ukiongeza oil wakati ilikuwa inamwagika ukawasha ukiongeza Tena oil ukizima gari siitamwagika zaidi?
jibunikwamba haitamwagika coz ukiwasha oil itapanda nakuingia kwenye maklach,konveta na sehemu nyinginezo.
hata ukizima oil iliyo ingia huko haiwezi kutoka labda uwashe gari ipate mzunguko wake lakini gari ikiwa of haiwezi kutoka huko
kwasababu sampo itakuwa imejaa oil Hadi kwenye valvu ches.ili oil iliyo juu kwenye maklach nasehem nyingine ishuke kwenye sampo lazima iliyopo kwenye sampo inyonywe na filter kwenda juu Naya juu nayo ije chini
Sasa kwamaelezo haya kama umeyaelewa gari ikiwa of namaanisha ikizingua ukiivuta utaharibu nini?
mzungu anakupa tahadhari tuu lakini sio hatari kama mnavyo fikiri.