Kwanini wanashauri usivute gari lenye Automatic Gearbox ukipata break down, badala yake upakie kwenye Flatbed Truck

Kwanini wanashauri usivute gari lenye Automatic Gearbox ukipata break down, badala yake upakie kwenye Flatbed Truck

kitaalamu Gani wengi mnagugo halafu mnakuja kudanganya watu humu.

ingekuwa nihatari hivyo hizogari zisingewekwa sehemu zakuvutia inapo pata changa moto.wazungu sio machizi kama..
Halafu kuna ubaya gani kukugo ikiwa ukigoogle unasolve matatizo.

Wewe itakuwa ndio wale mnaokata sana connector kwenye gari za kijerumanikwa sababu ya kuamini kila kitu unajua.
 
haiwezi.tushafanya sana vitu hivyo.nahata kama inaharibika sio nkirahisi hivyo.

labda kama kilasiku kaziyako nikuvutwa tuu ndio lolote linaweza kutokea.sio inavutwa maramoja giabox inakufa hapohapo huo niuongo.
Hata kuweka oil za buku saba kwenye magari ya watu ushafanya sana na kwa sababu gearbox haziharibiki hapohapo baada ya kuweka unaona ni sawa tu.
 
gari inayo vutwa haiwezi kupata joto hata sikumoja mkuu.
Engine haitapata joto kww kuwa kutakuwa hakuna combustion, ila diff na gearbox huwa vijapata moto kutokana na friction
wengi humu hamjui hata Jinsi giabox zinavyo fanya kazi.

kimsingi giabox inaambukizwa joto na injini.sasa ikitokea gari imezingua inahitaji kuvutwa kawaida injini lazima iwe off

wengi mnasema ukivuta unaweza kuunguza ama kuharibu giabox coz mzunguko wa oil hamna.

kazi ya oil nikurahisisha gia ziingie thmooth. unapovuta gari ukiweka freegia kwenye gari za auto unaivuta bila wasiwasi

Sabu kwanza oilí itakuwepo kwenye sampo klach zinapojizungusha zinachota oil liyopo kwenye valvu ches.pia mtikisiko wagari wakati inavutwa pia oil inapanda kwenye clutch na kuzilowesha.

kumbuka vyote hivyo vinafanyika injini ikiwa off sasa inaunguaje kwamfano?

gari inaunguza clutch ikiwa unaindesha hukuoil imepungua au imepita mudawake.
Huwa nachukia sana mtu anapojipa mamlaka ya kuelezea kitu ambacho huna uhakika nacho.
Bro umeahawahi hata kubomoa gearbox ukaona hata mzunguko au jinsi inavyofanya kazi?
Mtoa mada yupo sahihi sana ,tena kuna baadhi hata kuwekantu neutral ukiwa kwenye motion kuna madhara mfano gearbox zote za Gr series (scania)
 
View attachment 2723509
Kibongo bongo hapa hawawezi kukuelewa, ni ubishi na ujuaji mwingi kama vile superchager turubo Wao ni kufunga zao kamba huku na huku chuma inavutwa kutoka Kibaha mpaka Ilala garage 50km.
nimeshavuta nissan navara njombe to mbeya tena mwendo wa ngiri mkua juu na gearbox haijawahi sumbua. ila sijabisha maelezo yenu ya kitaalam mkuu maana mimi sio fundi.
 
nimeshavuta nissan navara njombe to mbeya tena mwendo wa ngiri mkua juu na gearbox haijawahi sumbua. ila sijabisha maelezo yenu ya kitaalam mkuu maana mimi sio fundi.
Kuna vitu basic sana ambavyo havihitaji uwe mtaalamu kuvielewa, ni kama tu vile unavyonunua smartphone dukani ukasoma user manual yake ikakuambia inaweza kuhimili kukaa ndani ya maji (kina cha mita 1 na nusu) kwa muda wa nusu saa, sasa hapo ni nini ambacho hakieleweki.
 
Engine haitapata joto kww kuwa kutakuwa hakuna combustion, ila diff na gearbox huwa vijapata moto kutokana na friction

Huwa nachukia sana mtu anapojipa mamlaka ya kuelezea kitu ambacho huna uhakika nacho.
Bro umeahawahi hata kubomoa gearbox ukaona hata mzunguko au jinsi inavyofanya kazi?
Mtoa mada yupo sahihi sana ,tena kuna baadhi hata kuwekantu neutral ukiwa kwenye motion kuna madhara mfano gearbox zote za Gr series (scania)
dogo Mimi nifundi Niko kazini miaka kumi sasa.nimeshavuta magari siichini ya mía nayote hayakupata changa moto yoyote.

sikia wee yanki kama gari haipo on hakuna chochote chakuzalisha joto Tena sAwa?
 
Back
Top Bottom