Ford Rwahura Member Joined Apr 6, 2020 Posts 31 Reaction score 27 Jan 10, 2024 #141 doup said: Kazi ya Neutral ni nini? Niliamini ndio inatenganisha engine na matairi, lakini baada ya kutafakari na mchoro maelezo naona Ina make sense especially gari zenye shaft ya nyuma. Shaft litaendelea kuzingusha gearbox kutokana na mzunguko wa matairi. Click to expand... Mkuu me nimezoea kuweka free kwenye hizi gari za automatic kwenye mteremko mwepesi. Kuna madhala yoyote?
doup said: Kazi ya Neutral ni nini? Niliamini ndio inatenganisha engine na matairi, lakini baada ya kutafakari na mchoro maelezo naona Ina make sense especially gari zenye shaft ya nyuma. Shaft litaendelea kuzingusha gearbox kutokana na mzunguko wa matairi. Click to expand... Mkuu me nimezoea kuweka free kwenye hizi gari za automatic kwenye mteremko mwepesi. Kuna madhala yoyote?