Kwanini wanasiasa na watawala wa Afrika huwa wanaitwa na kuitana waheshimiwa?

Kwanini wanasiasa na watawala wa Afrika huwa wanaitwa na kuitana waheshimiwa?

Yoda

JF-Expert Member
Joined
Jul 22, 2018
Posts
64,960
Reaction score
111,265
Hili suala la wanasiasa na watawala kuitwa na kuitana waheshimiwa ni mojawapo ya mambo ya ajabu sana ya Waafrika.

Screenshot_20260414-142924~2.jpg

​
 
Hili suala la wanasiasa na watawala kuitwa na kuitana waheshimiwa ni mojawapo ya mambo ya ajabu sana ya Waafrika.

View attachment 3572534
​
Wale mazafakas ni slaves wa titles. Sababu inayowafanya some of them wajiite doctor wakati hata hadhi ya uzamili hawana ndiyo sababu hiyo hiyo inayowafanya watake (na wapende) kuitwa waheshimiwa.

Kingine kinachochangia ni machawa kupenda kuwaabudu hao viongozi. Huwezi kumsikia chawa akimuita Rais, “Mr. President” or “Madam President”!
 
Back
Top Bottom