Mafutayanazi
Member
- Mar 23, 2022
- 24
- 19
Ukikuta mwanaume anapigana siyo kwa sababu ya mwanamke, tunapigania heshima wakuu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
in the contrary, wanaume wanagombania wanawake kuliko wanawake wanavyogombania wanaume. vifo vingi vya ugomvi wa mapenzi hapa duniani ni wanaume kugombania wanawake na sio wanawake kugombania wanaume. mwanamke akigombania mwanaume hata hasababishi kifo, ila sisi wanaume sasa, unatamani hadi kuua mtu kwasababu tu ya .....tu tena ambayo umeshaikuta ilishatolewaka bikra hadi mwenye nayo ashasahau lini ilitolewa na idadi ya wanaume aliopita nao.Imekuwa ni jambo la kawaida sana sana kwenye jamii zetu sio tu Afrika hata ulaya unakuta wanawake wanapigana vikumbo kisa Mwanaume.
Either ni Mwanaume
1. Mwenye pesa
2. Handsome
3. Ana ushawishi
4. Maarufu n.k
Ila sisi wanaume pamoja na kuhonga kwetu mamilioni ya pesa Kwa ajili ya wanawake wazuri wenye shape na sura mbona hatuwezi kumgombania mwanamke Incase Kuna Mwanaume anataka kumchukua?
Yaani huwezi Kuta wanaume wanapigania demu mmoja never. Kwann?
Mimi binafsi pamoja na washkaji zangu hatujawahi mgombania demu yoyote yule kama akichukuliwa poa TU tunasonga mbele na maisha mengine .
Sasa swali Kwa wanaume wenzangu hii imekaaje?
N.B picha kusindikiza Uzi hapo hazihusiani na mada 🙂
Bila picha ni uzushiImekuwa ni jambo la kawaida sana sana kwenye jamii zetu sio tu Afrika hata ulaya unakuta wanawake wanapigana vikumbo kisa Mwanaume.
Either ni Mwanaume
1. Mwenye pesa
2. Handsome
3. Ana ushawishi
4. Maarufu n.k
Ila sisi wanaume pamoja na kuhonga kwetu mamilioni ya pesa Kwa ajili ya wanawake wazuri wenye shape na sura mbona hatuwezi kumgombania mwanamke Incase Kuna Mwanaume anataka kumchukua?
Yaani huwezi Kuta wanaume wanapigania demu mmoja never. Kwann?
Mimi binafsi pamoja na washkaji zangu hatujawahi mgombania demu yoyote yule kama akichukuliwa poa TU tunasonga mbele na maisha mengine .
Sasa swali Kwa wanaume wenzangu hii imekaaje?
N.B picha kusindikiza Uzi hapo hazihusiani na mada 🙂
Tena sisi wanaume kugombania wanawake ndio sana kuliko wanawake na ndio maana tunaongoza kujiua kisa mapenziEti never! 🙄
Acha uongo!!
Wapo wanaume kibao wanaogombea wanawake on daily basis! Wanapigana makonde, mpaka visu wanachomana.
Ondoka tandahima kwenye mashamba ya migimbi ndio utaona dunia ilivyoMmh wapi hiyo . Mbona Mimi sijawahi kuona popote pale hata kwenye tamthilia sijawahi ona au movie yoyote iwe bongo au za mambele.
Hata mtaani sijawahi ona . Ww unaongelea kuchapiwa labda
Mdogo wetu bado hajakomaa, yeye kugombaniwa na vitoto vyenzie anaona kama ndiyo stage zote ziko hivyo😊Hapo umenyoosha kabisa
Phone went blackout🤦🏽♂️Hujanicheck bado
ChaiMtoa mada unaishi sayari gani ambayo hakuna wanaume waliowahi kupigana kisa wanawake, we sema tu hujawahi kuwaona ila wapo wengi sana tena siyo kupigana tu hata kuuana au kujiua kabisa we angalia cases za watu wanaojiua kisa mapenzi wengi ni jinsia gani, mnatumia nguvu nyingi sana kulazimisha ionekane kama vile wanawake ndio wanawahitaji sana wanaume kumbe ni kinyume chake tu
Duuhkuna watu hadi wamepoteza kazi maofisini huko kwasababu tu wapo karibu na mwanamke ambaye alishawahi kupita na boss, wengine wapo hadi magerezani wametengenezewa kesi. kuna mwaka nilishawahi kukosa dili nono sana kwasababu tu nipo karibu na mwanamke ambaye hata sikuwa na mahusiano naye ila yeye ndio ananifuata na kunisumbua, kumbe kuna tajiri mmoja alikuwa anamtaka, hakupenda kwanini yule mwanamke anipende mimi na sio yeye, akawa adui yangu bila hata mimi kujua.