Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mwanamume mwenye kibunda akimcheat mwanamke wake, utamsimkia mwanamke akilalamika anaibiwa mume/bwana wake👀👀Kuna wanawake huwa wanagombania wanaume kumbe??
Umeshindwa hata kutumia akili ndogo kujua hili? Walishushwa toka mbinguniZamani walikuwa Wacha he saivi wapo wengi mmh hii mbona uongo.
Wameongezekaje sasa
Nashangaa hapo na mie.Eti never! [emoji849]
Acha uongo!!
Wapo wanaume kibao wanaogombea wanawake on a daily basis! Wanapigana makonde, mpaka visu wanachomana.
Sasa km huna uhakika wa kupata mpenzi mwingine?Ila kugombana na mwenzio kisa mpenzi ni kujidhalilisha. Wewe umia lia ukimaliza Maisha yanaendeleaga.
Kwa kweli.Mtoa mada unaishi sayari gani ambayo hakuna wanaume waliowahi kupigana kisa wanawake, we sema tu hujawahi kuwaona ila wapo wengi sana tena siyo kupigana tu hata kuuana au kujiua kabisa we angalia cases za watu wanaojiua kisa mapenzi wengi ni jinsia gani, mnatumia nguvu nyingi sana kulazimisha ionekane kama vile wanawake ndio wanawahitaji sana wanaume kumbe ni kinyume chake tu
Na serikali isiingilie!!🤣 usije ukarudi unalia kama yule shabiki wa ile timu fulaniSiku mkinikuta nagombania au kulia kuhusu mwanamke mnichinje
Hizi takwimu za kipumbavu sijui mnazipataga wapi, aliyekwambia wanawake ni wengi kuliko wanaume ni nani?zingatia idadi ,wanawake wangekuwa wachache kwenye maeneo mengi ni wangegombaniwa tu lazima.
Sasa kuwa na wivu kwa mpenz wako kuna uhusiano gani na kugombea mwanamke.?Basi kama hatugombani wanaume kwa nini tunaongoza kwenye wivu wa mapenzi
Kwani wivu umesababishwa na nini? HapoSasa kuwa na wivu kwa mpenz wako kuna uhusiano gani na kugombea mwanamke.?
Sawa population n tofauti ndogo sana.....haya piga hesabu uko kwenye jamiii yenu n jinsia gan wanakufa sana?Population ipo 51 , 49 tofauti ni ndogo sana