Kwanini wanaume hatusherehekei siku zetu za kuzaliwa?

Vipi na sie wanawake ambao kama sio voda watukumbushe kwa kututakia birthday njema basi bank husika ndo wanatoa pongezi bila hvyo haipiti hata akilini
We ndio mwanamke wa kuoa sasa.
Kama umeolewa hongera sana. Ila kama bado naomba nafasi kwako
 
Mm nataman kusheherekea ila nakosa pesa tu
Hata kama huna pesa unaweza kufanya kitu kingine kuonesha kama na we umesherehekea. Mfano kwenda ziwani, mtoni au baharini kuogelea
 
Hata kama huna pesa unaweza kufanya kitu kingine kuonesha kama na we umesherehekea. Mfano kwenda ziwani, mtoni au baharini kuogelea
Huwaga watu Wana nipost nafarikila after that naenda sehemu yoyote ile namwagilia moyo ila sijawai kata keki ila ilo lipo kwenye bajet mwakani
 
Mm tangu nizaliwe sikuwah kufanya na huwa nasahau lkn mamaangu huwa ananiwish tangu nipo mdogo japo alikuwa hanifanyii sherehe,

nimefanya birthday mwka huu na wafanyakaz wenzangu ofisin yaan inaburudisha mno nilijihis kuthaminiwa mno inaleta furaha sana japo haikuwa party kubwa ila kunakitu Cha tofauti nilijihis

Ila wanaume naonawako busy sana pia wengi wanakosa support ya watu wa kuwajali Kwa karibu kwenye sikuzao muhimu km hizo sio Kwa sherehe kubwa hta Kwa kadi maua na zawad ndogondogo inavutia mno


Kwa upande wa mpenz kwakweli dear future husband furahayako muhimu kipnde hiki lazima nikiweke sawaπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚hta Kwa chocolate tutashrehekea tu
 
Kwakweli Sioni km ni ulazimakununa mtu km ameshindwa kukumbuka japo kunawanawak sherehe ni kipaumbele πŸ˜‚
 
Kwakweli Sioni km ni ulazimakununa mtu km ameshindwa kukumbuka japo kunawanawak sherehe ni kipaumbele πŸ˜‚
Shida huwa tunafananishwa sana, utasikia,"Wewe utakuwa hunipendi! Mbona Ex wangu alikuwa kila birthday yangu anakuwa wa kwanza kuni-wish!" ...bloody fool!🀬
 
Sawa future wife!πŸ˜‹
 
Shida huwa tunafananishwa sana, utasikia,"Wewe utakuwa hunipendi! Mbona Ex wangu alikuwa kila birthday yangu anakuwa wa kwanza kuni-wish!" ...bloody fool!🀬
Ndo shida ilipo na kinachotuponza ni kuiga
 
Ila kuna mabaharia wanatuangusha sana anaanza kusherehekea bado week moja ila watoto wakishua ndo zao hizo utaona jitu zima linapost mpaka katuni status ila sisi ngumu kumeza maisha yenyewe birthday.
 
Sisi wengine siku zetu za kuzaliwa huwa tunafunga swaum, baadhi ya nyakati tunasahau kabisa.

Lakini kiuhalisia si siku ya kusherehekea, bali unatakiwa kuwaza umetanguliza nini huko uendako baada ya maisha haya ya dunia. Hii ni kwa sisi tunaomini uwepo wa Mola muumba.
 
Mhubiri 7:1-2

Heri sifa njema kuliko marhamu nzuri;
Na siku ya kufa kuliko siku ya kuzaliwa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…