Binafsi nina mambo mengi ya kufanya hivyo siwezi kuzingatia vitu vidogo vidogo kama ivyo, Kuna kipindi nilifanyiwa surprise na wife lakini sikutokea kwenye hiyo birthday yangu, kwasababu nilikuwa sijui kama ni siku ya birthday yangu
Kwa mtazamo wangu naona birthday ni nzuri kwa wanawake maana wanapenda sana sherehe na kuvaa kupendeza pendaza pia ni namna mpya kwa wanawake kutambiana na kuonyeshana ufahari baina yao.
mfano ;- Kuna dada mmoja aliamua kumfanyia mtoto wake birthday ambapo alitumia karibia nusu ya mtaji wake wa biashara ,akaanza kuomba omba baada ya birthday kuisha na mtaji umekata alikuja kwangu nikamchana laivu na kumwambia hauna akili hata kidogo