Blood of Jesus
JF-Expert Member
- Sep 19, 2016
- 4,486
- 8,098
ni shetani kazini. hakuna lugha nyingine naweza sema hapo. ni matendo ya mwili.Unakuta mkaka ana mke mzuri mwenye sifa zote za uzuri lakini hatulii kwa huyo mkewe, anachepuka na mdada mwingine tena wa kawaida tu.
Kwa nini wanaume huchepuka?
Hiv Kuna wanaume ambao hawachepuki sikuhiz😃
😂😂Aminaaa kwakweli,labda kama nimeweka lockup uraiani kuchepuka uhakika.
Weka uthibitisho wako hapa,sasa kama mwanamke anakubania tendo la ndoa unaishi nae wa nini.Maana mwanamke tofauti na uchi wake hakuna kingine anaweza kukupa.
Kemea mtumishi shetani ashindwe.ni shetani kazini. hakuna lugha nyingine naweza sema hapo. ni matendo ya mwili.
JESUS IS LORD&SAVIOR
Huo ni mtazamo wako, mie sipo na huo mtazamoKila mwanamke anataka kumdhibiti mume wake asiwe mchepukaji. Na njia anayoitumia kumdhibiti ni kumkaripia, kumpigia makelele, kumhisi mda wote anachepuka na kumuambia"najua uko kwa wanawake zako", na kumnyima papuchi..!
Mwanaume kuchepuka ni kawaida labda ungesemea kuwa na michepuko mingi hapo ndo tunge jaribu kujitetea but kama nachepuka kwa mmoja tu hakuna kujitetea apo......Unakuta mkaka ana mke mzuri mwenye sifa zote za uzuri lakini hatulii kwa huyo mkewe, anachepuka na mdada mwingine tena wa kawaida tu.
Kwa nini wanaume huchepuka?
Ikiwa wewe ni mchepukaji toa sababu, acha kuingiza kwenye kundi la wachepukaji wanaume wasio wachepukajiMwanaume kuchepuka ni kawaida labda ungesemea kuwa na michepuko mingi hapo ndo tunge jaribu kujitetea but kama nachepuka kwa mmoja tu hakuna kujitetea apo......
Nachepuka na kilicho nivutia kua na mke mzuri kuliko mchepuko wangu sio kigezo cha kunifanya nisichepuke napenda ujuaji hilo tu.Ikiwa wewe ni mchepukaji toa sababu, acha kuingiza kwenye kundi la wachepukaji wanaume wasio wachepukaji
alishashindwa na YESU msalabani. shida Iko kwetu kuamini hilo. Mtu aliyeokoka kwa maana ya kuzaliwa mara ya pili hawezi kutumikishwa na shetani. Kumbuka mtu atendaye dhambi ni mtumwa wa dhambi.Kemea mtumishi shetani ashindwe.
Mke hatoi tiGoUnakuta mkaka ana mke mzuri mwenye sifa zote za uzuri lakini hatulii kwa huyo mkewe, anachepuka na mdada mwingine tena wa kawaida tu.
Kwa nini wanaume huchepuka?
TiGo ni nini?Mke hatoi tiGo
kumbe majibu mnayo sasa muambizane maana tumechoka kujibu hili swali kila mwaka hapa jfNgoja waje wakwambie mboga moja inachosha au wao wameumbwa hivyo Mwanamke mmoja hatoshi.
hili nalo neno...mkaliangalie kwa makini hasa hasa kwa kizazi hiki cha fkuwa mitaroMke hatoi tiGo
Aliyyah nimekuelewa!! Upo gorgeous sana.
Aliekwambia huwa tunachepuka ni nani?Unakuta mkaka ana mke mzuri mwenye sifa zote za uzuri lakini hatulii kwa huyo mkewe, anachepuka na mdada mwingine tena wa kawaida tu.
Kwa nini wanaume huchepuka?
Mtandao pendwa..TiGo ni nini?