Kwanini wanaume huchepuka?

Kwanini wanaume huchepuka?

Unakuta mkaka ana mke mzuri mwenye sifa zote za uzuri lakini hatulii kwa huyo mkewe, anachepuka na mdada mwingine tena wa kawaida tu.

Kwa nini wanaume huchepuka?
ni shetani kazini. hakuna lugha nyingine naweza sema hapo. ni matendo ya mwili.

JESUS IS LORD&SAVIOR
 
Wagalatia 5 (Biblia Takatifu)
¯¯¯¯¯¯¯¯¯¯
¹⁶ Basi nasema, Enendeni kwa Roho, wala hamtazitimiza kamwe tamaa za mwili.
¹⁷ Kwa sababu mwili hutamani ukishindana na Roho, na Roho kushindana na mwili; kwa maana hizi zimepingana, hata hamwezi kufanya mnayotaka.
¹⁸ Lakini mkiongozwa na Roho, hampo chini ya sheria.
¹⁹ Basi matendo ya mwili ni dhahiri, ndiyo haya, uasherati, uchafu, ufisadi,
²⁰ ibada ya sanamu, uchawi, uadui, ugomvi, wivu, hasira, fitina, faraka, uzushi,
²¹ husuda, ulevi, ulafi, na mambo yanayofanana na hayo, katika hayo nawaambia mapema, kama nilivyokwisha kuwaambia, ya kwamba watu watendao mambo ya jinsi hiyo hawataurithi ufalme wa Mungu.
 
Kila mwanamke anataka kumdhibiti mume wake asiwe mchepukaji. Na njia anayoitumia kumdhibiti ni kumkaripia, kumpigia makelele, kumhisi mda wote anachepuka na kumuambia"najua uko kwa wanawake zako", na kumnyima papuchi..!
Huo ni mtazamo wako, mie sipo na huo mtazamo
 
Unakuta mkaka ana mke mzuri mwenye sifa zote za uzuri lakini hatulii kwa huyo mkewe, anachepuka na mdada mwingine tena wa kawaida tu.

Kwa nini wanaume huchepuka?
Mwanaume kuchepuka ni kawaida labda ungesemea kuwa na michepuko mingi hapo ndo tunge jaribu kujitetea but kama nachepuka kwa mmoja tu hakuna kujitetea apo......
 
Kemea mtumishi shetani ashindwe.
alishashindwa na YESU msalabani. shida Iko kwetu kuamini hilo. Mtu aliyeokoka kwa maana ya kuzaliwa mara ya pili hawezi kutumikishwa na shetani. Kumbuka mtu atendaye dhambi ni mtumwa wa dhambi.

“Yesu akawajibu, Amin, amin, nawaambia, Kila atendaye dhambi ni mtumwa wa dhambi.

— Yohana 8:34 (Biblia Takatifu)

YESU NI MWOKOZI na ndiye BWANA
 
Kilichonifanya kuwa na mchepuko ni kutokana na wife kusema hawezi kunyonya na hatakuja fanya huo ujinga, nikapata mchepuko unaninyonya balaa na huu ni mwaka tatu . Nilichogungua wengi huchepuka kwa sababu ya kukosa baadhi ya huduma na wanaume huamua kuifuata nje
 
Back
Top Bottom