Econometrician
JF-Expert Member
- Oct 25, 2013
- 16,879
- 31,253
,sasa kama mwanamke anakubania tendo la ndoa unaishi nae wa nini.Maana mwanamke tofauti na uchi wake hakuna kingine anaweza kukupa.Chanzo kikuu cha wanaume kuchepuka ni kubaniwa tendo la ndoa
Mdada kuwa mzuri katika ndoa sio kila kitu. Shida wadada mkishaolewa mnaanza kuchukulia mambo poa, mnaanza kuweka rariba za kubanduana
Wako ukiwa naye kitandani,sisi ndio wanaume tunajuana.Nijue namna ya kumdhibiti mwanaume wangu asiwe mchepukaji
Kitabu kipi hicho mkuu??Tunafuata vitabu vyetu tukuka vya dini, mitume wetu na manabii wetu, tunafuata asili
Tena wanachepuka na ma barmaid na wadada poa.Hiv Kuna wanaume ambao hawachepuki sikuhizπ
Ukiona mwanaume hachepuki ujue Hana ela πWapo mbona ni mentality mmejiwekea kuwa wanaume wote wanachepuka
Nikushauri kitu kimoja Bi zandile just be feminine, just be submissive, just be his assistant, that's all.Nijue namna ya kumdhibiti mwanaume wangu asiwe mchepukaji
Umekariri wanaume dada, kuchepuka kwa wanaume hauna uhusiano na kipato chake.Ukiona mwanaume hachepuki ujue Hana ela π
Hivi hii movie ilifikaga mwisho wake? Sikufanikiwa kuimaliza Ila ningependa kuitazama Tena kama imeishaInto the Badland.....
Quinn alitaka kumpelekea Moto widow
ππππqbbbke nimeinjoi hii komentiHuwa nawashauri wanaume wenzangu watulie kama mimi ila wao hawataki hapa jf wote wameoa na wanamichepuko zaidi ya 6 ila mi nipo singo najitunza kwaajili yako Bi zandile
Nimenukuu sehemu kunamtu pia alinambia hivo ni mwanaume akasema nature Huwa hamtosheki so nimenukuuUmekariri wanaume dada, kuchepuka kwa wanaume hauna uhusiano na kipato chake.
Kuna jinsi ya Kuishi na mwanaume sema ma-feminist mkiambiwa mnaona kama ni slavery
Hiyo inategemea na umempata mwanaume wa aina gani, kuna mwanaume ni malaya by nature hata ufanye nini hawezi kuliridhika na mwanamke mmoja.Kuna wanaume ambao sio malaya by nature sema matendo yako kwake ndio yanaweza kuamua asikucheat au hakucheat huyu ndio suitable kwako unaweza kutumia sanaa ya mapenzi na ikamfanya asichepuke mambo yenyewe ni kama yapi;Ndo ipoje hiyo mm natak mumewangu Yani akiwa Kwa mchepuko awe ananiona Mimi ππngoja niamke kwanza hii ndoto ninayoota haipo
Mwanamke amewekwa chini ya mwanamume, nje ya hapo hakuna la ziadaUmekariri wanaume dada, kuchepuka kwa wanaume hauna uhusiano na kipato chake.
Kuna jinsi ya Kuishi na mwanaume sema ma-feminist mkiambiwa mnaona kama ni slavery
Kutokutosheka haina maana ujiendekeze, bado mtu amepewa uwezo wa kuidhibiti nafsi yake. So siyo lazima kuifuata nafsi katika kila inacho tamaniNimenukuu sehemu kunamtu pia alinambia hivo ni mwanaume akasema nature Huwa hamtosheki so nimenukuu
Huyo mchuchu ananiringia anasema eti nimechelewaππππqbbbke nimeinjoi hii komenti
Sio kweli hivi ujawahi kukutana na mwanaume ambaye ni domo zege?Ukiona mwanaume hachepuki ujue Hana ela π
πππ na play station 5 mkononi
Hamna kitu kama hicho, ni kujiendekeza tuu na kuendekeza nyege, unaweza kuridhika na mwanamke mmoja vizur kabisa, but kama huyo mwanamke haleti vita nyumbani.Nimenukuu sehemu kunamtu pia alinambia hivo ni mwanaume akasema nature Huwa hamtosheki so nimenukuu
Aache visingizio vya ajabu mpe imethibitishwaHuyo mchuchu ananiringia anasema eti nimechelewa
mjukuu wang usiwaze ww nishakitafutia mchumba ambaye n BICHWA KOMWE -Huwa nawashauri wanaume wenzangu watulie kama mimi ila wao hawataki hapa jf wote wameoa na wanamichepuko zaidi ya 6 ila mi nipo singo najitunza kwaajili yako Bi zandile