Kwanini wanaume huchepuka?

Kwanini wanaume huchepuka?

Chanzo kikuu cha wanaume kuchepuka ni kubaniwa tendo la ndoa

Mdada kuwa mzuri katika ndoa sio kila kitu. Shida wadada mkishaolewa mnaanza kuchukulia mambo poa, mnaanza kuweka rariba za kubanduana
,sasa kama mwanamke anakubania tendo la ndoa unaishi nae wa nini.Maana mwanamke tofauti na uchi wake hakuna kingine anaweza kukupa.
 
Afu mwanamke anakuwa mzuri ukiwa naye ww au ukimuona ww.Hao wazuri nao wanamapungufu mengi tu tena mengine hayavumiliki.
Nimeona wadada wengi tu wazuri lakini wachafu wahidi na wapemba wanakaa na kuandika notes.
Kumbuka Mungu akupi kila kitu.
 
Nijue namna ya kumdhibiti mwanaume wangu asiwe mchepukaji
Nikushauri kitu kimoja Bi zandile just be feminine, just be submissive, just be his assistant, that's all.
Akikosea mfate mkiwa wawili mwambie kistaarabu, na huwez amini unavozidi kuwa submissive and feminine ndo utakuwa na uwezo mwingi wa kum-control mwanaume wako kuliko ukiwa masculine(mbabe-mbabe au mwongeaji) yaan atakuwa anakusikiliza kuliko kawaida.

Nimekupa code sasa kazitumie.
 
Ndo ipoje hiyo mm natak mumewangu Yani akiwa Kwa mchepuko awe ananiona Mimi 😂😂ngoja niamke kwanza hii ndoto ninayoota haipo
Hiyo inategemea na umempata mwanaume wa aina gani, kuna mwanaume ni malaya by nature hata ufanye nini hawezi kuliridhika na mwanamke mmoja.Kuna wanaume ambao sio malaya by nature sema matendo yako kwake ndio yanaweza kuamua asikucheat au hakucheat huyu ndio suitable kwako unaweza kutumia sanaa ya mapenzi na ikamfanya asichepuke mambo yenyewe ni kama yapi;

1.Wanataka utulivu, Epuka kuwa na makelele sana kwenye ndoa hii inasaidia asichepuke

2.Jitahidi uwe mpya machoni mwake,Wanawake wengi waliokwenye ndoa ubweteka sana kama alikuwa anapendeza sana atapunguza so unatakiwa kupendeza,hata wakati unahitaji kufanya nae sex vaa mavazi tamanishi ili tu mvutie

3.Uwe una lugha nzuri kwa mumewe, Wanaume sometimes wanaitaji kupewa maneno mazuri ya kumotivate hasa anapopitia changamoto mbalimbali epuka pia lugha za kejeli au dharau wanaume wote hawapendi dharau.

4.mpe sex pale anapohitaji, moja ya sababu kuu ya wanaume wengi kuchepuka ni kubaniwa kwenye sex nimekuongezea hili tena lichukue alafu ndio la muhimu sana Aaliyyah
 
Nimenukuu sehemu kunamtu pia alinambia hivo ni mwanaume akasema nature Huwa hamtosheki so nimenukuu
Hamna kitu kama hicho, ni kujiendekeza tuu na kuendekeza nyege, unaweza kuridhika na mwanamke mmoja vizur kabisa, but kama huyo mwanamke haleti vita nyumbani.

Mungu ndiye anayetujua, kama katuumba kutoridhika na mwanamke mmoja, mbona kamuumba Adam na akampa mke mmoja?? Si angempa hata wawili au watatu au wanne??
 
Back
Top Bottom