Tlaatlaah
JF-Expert Member
- May 18, 2023
- 24,665
- 25,388
nadhani ni kwasabb wadada wenyewe hata kama wapo kwenye ndoa kumkataa mwanaume siku hizi kwao ni mwiko, wanahisi ni laana pia🐒Unakuta mkaka ana mke mzuri mwenye sifa zote za uzuri lakini hatulii kwa huyo mkewe, anachepuka na mdada mwingine tena wa kawaida tu.
Kwa nini wanaume huchepuka?
halafu utadhani wameambizana, ukigusa tu imo dah 🐒