Kwanini wanaume huchepuka?

Kwanini wanaume huchepuka?

Wanaume ambao hawachepuki wapo wengi na wapo ambao pia hayajawahi kufanya sex sema mnakutana na wanaume wajanja ndio ambao ni malaya na kuna wengine sio malaya sema kuna sababu zinazowafanya wachepuke kama kunyimwa tendo, makelele ya mke n.k
Mboga moja inachosha kwa watu wote
 
Hiyo inategemea na umempata mwanaume wa aina gani, kuna mwanaume ni malaya by nature hata ufanye nini hawezi kuliridhika na mwanamke mmoja.Kuna wanaume ambao sio malaya by nature sema matendo yako kwake ndio yanaweza kuamua asikucheat au hakucheat huyu ndio suitable kwako unaweza kutumia sanaa ya mapenzi na ikamfanya asichepuke mambo yenyewe ni kama yapi;

1.Wanataka utulivu, Epuka kuwa na makelele sana kwenye ndoa hii inasaidia asichepuke

2.Jitahidi uwe mpya machoni mwake,Wanawake wengi waliokwenye ndoa ubweteka sana kama alikuwa anapendeza sana atapunguza so unatakiwa kupendeza,hata wakati unahitaji kufanya nae sex vaa mavazi tamanishi ili tu mvutie

3.Uwe una lugha nzuri kwa mumewe, Wanaume sometimes wanaitaji kupewa maneno mazuri ya kumotivate hasa anapopitia changamoto mbalimbali epuka pia lugha za kejeli au dharau wanaume wote hawapendi dharau.

4.mpe sex pale anapohitaji, moja ya sababu kuu ya wanaume wengi kuchepuka ni kubaniwa kwenye sex nimekuongezea hili tena lichukue alafu ndio la muhimu sana Aaliyyah
Nitarudi tujadiliane
 
Unakuta mkaka ana mke mzuri mwenye sifa zote za uzuri lakini hatulii kwa huyo mkewe, anachepuka na mdada mwingine tena wa kawaida tu.

Kwa nini wanaume huchepuka?
Tuache kwanza ndio kwanza tunatafuta wengine😂
 
DSTV wazuri ila azam nayo ina ladha yake.!!
Waacheni wanaume wapate burudani msiwabane bane..!!
Wewe ukiambiwa utazame TBC mwaka utaweza?!!

My husband to be kokote ulipo onja mapishi mbalimbali kwa raha zako 🤣🤣🤣
 
Unakuta mkaka ana mke mzuri mwenye sifa zote za uzuri lakini hatulii kwa huyo mkewe, anachepuka na mdada mwingine tena wa kawaida tu.

Kwa nini wanaume huchepuka?
Hawa unaoita wakaida ndio wazuri 😅
 
DSTV wazuri ila azam nayo ina ladha yake.!!
Waacheni wanaume wapate burudani msiwabane bane..!!
Wewe ukiambiwa utazame TBC mwaka utaweza?!!

My husband to be kokote ulipo onja mapishi mbalimbali kwa raha zako 🤣🤣🤣
😅😅😅
 
Hii umeandika ukiwa Tungi ngoja pombe ziishe 😀😀😀usije kukana my wii
 
Back
Top Bottom