Sonko Bibo
JF-Expert Member
- May 24, 2019
- 957
- 1,493
Mwanaume anakuwa mshamba kwenye uzuri wako kwa siku 90..Kwa hiyo unamaanisha thamani ya mwanamke ipo kwenye chupi?
Zaidi ya hapo ni wivu tu na mawenge na utashi wenu kuendelea kumpumbaza akili..
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mwanaume anakuwa mshamba kwenye uzuri wako kwa siku 90..Kwa hiyo unamaanisha thamani ya mwanamke ipo kwenye chupi?
KWenye bibliaNitawapata wapi hao?
kuwa na mke haimaanishi ndo nisile watoto wa 2000Endelea nakusikiliza
Umemaliza kusema au bado?kuwa na mke haimaanishi ndo nisile watoto wa 2000
wewe unalako jambo sio bureUmemaliza kusema au bado?
Nielekeze habari zao zilipo nikasomeKWenye biblia
Huo ni mtazamo wako.Mwanaume anakuwa mshamba kwenye uzuri wako kwa siku 90..
Zaidi ya hapo ni wivu tu na mawenge na utashi wenu kuendelea kumpumbaza akili..
Jibu swali tafadhaliwewe unalako jambo sio bure
Waulize googleNielekeze habari zao zilipo nikasome
Tupo ila wachache. Hivi Kuna wanawake hawachepuki siku hizi?Hiv Kuna wanaume ambao hawachepuki sikuhiz😃
Kwa sababu ya mabadiliko ya tabia nchiUnakuta mkaka ana mke mzuri mwenye sifa zote za uzuri lakini hatulii kwa huyo mkewe, anachepuka na mdada mwingine tena wa kawaida tu.
Kwa nini wanaume huchepuka?
Nimekupa hint wewe unaita mtazamo wangu sawa wewe endelea kuwadanganya hao wazuri wenzako.Huo ni mtazamo wako.
Nimewadanganyaje hapo kwa mfano?Nimekupa hint wewe unaita mtazamo wangu sawa wewe endelea kuwadanganya hao wazuri wenzako.
Muendelee kubweteka kwenye ndoa ili sura na maumbo ya kawaida wapate chance ya kuonyesha hazina yao iliyojificha kwa waume zenu..
Huo ni mtazamo wakoKwa sababu ya mabadiliko ya tabia nchi
SawaWaulize google
Ubarikiwe sana tena sana...cjawai chepuka baada ya kuoa,
shukhran🙏Ubarikiwe sana tena sana...
Endelea kuwaka tamaa kwa mkeo tu.
Kuwadanganya sio lazima uongee bali hata kuwa against the reality ni kuwadanganya wale ambao walitakiwa waijue kweli.Nimewadanganyaje hapo kwa mfano?