Kwanini wanaume huchepuka?

Kwanini wanaume huchepuka?

Huo ni mtazamo wako.
Nimekupa hint wewe unaita mtazamo wangu sawa wewe endelea kuwadanganya hao wazuri wenzako.
Muendelee kubweteka kwenye ndoa ili sura na maumbo ya kawaida wapate chance ya kuonyesha hazina yao iliyojificha kwa waume zenu..
 
Nimewadanganyaje hapo kwa mfano?
 
Nimewadanganyaje hapo kwa mfano?
Kuwadanganya sio lazima uongee bali hata kuwa against the reality ni kuwadanganya wale ambao walitakiwa waijue kweli.
Bi mama,, wewe ni mzuri lakini ni ile tu haiba ya kike ambayo sisi tunataka iongezewe vitu vingine.
 
Back
Top Bottom