Goliath mfalamagoha
JF-Expert Member
- Aug 3, 2012
- 602
- 2,506
Hahahaha...umetisha baba.supu ya pweza inahusika hapoMimi tumoja, tuwili silali. Mpaka nipige vi tano hapo usingizi utanichota kiana
Wanaume Wa Dar wamekufanya nini? Huishi kuwataja. Aisifiaye mvua...Wanaume wa dar es salaam bhana poleni sana acheni kula chips na hayo Makuku ya kizungu
KWA NINI WANAUME HULALA BAADA YA TENDO LA NDOA?
Utafiti wa jarida la Sayansi ya Mishipa ya Fahamu na Tabia uliochapishwa mwaka 2012 umebaini kuwa, dawa za usingizi hufanya kazi sawa na tendo la ndoa kwa wanaume.
Eneo la mbele la ubongo ‘pre –frontal cortex’, ambalo linahusiana na ufahamu, au umakini wa kiakili, huzima au kufungwa baada ya kumaliza tendo hilo.
Kwa baadhi ya utafiti, wanaume kumaliza tendo la ndoa, ni sawa na kunywa dawa za usingizi za ‘diazepam’ zenye ukubwa wa miligramu mbili.
Pia, vichocheo vinavyotoka baada ya tendo hilo kama ‘melatonin,’ ‘oxytocin’ na ‘vasopresin’, zinamsababisha mwanaume apate usingizi mzito.
[emoji3] [emoji2] kweli kabisa yaniHata mwanamke moja ya dalili za kifikishwa ni kulala ukiona halali ujue workdone=0
Sio makuku ya kizungu tu, Ni makuku matahaira.Wanaume wa dar es salaam bhana poleni sana acheni kula chips na hayo Makuku ya kizungu
Halafu hiyo ndo pic yako.Sio makuku ya kizungu tu, Ni makuku matahaira.
Unasema au unauliza?Halafu hiyo ndo pic yako.
Ukitaka ulale hadi uibiwe kwa demu, piga zako bia za kutosha, halafu kapige bao halafu ujidai eti unapumzika kutafuta la pili, ukishituka kumekucha.