Kwanini wanaume hulala baada ya tendo la ndoa?

Kwanini wanaume hulala baada ya tendo la ndoa?

Mmmh!! Sasa mkuu kwakuwa vitendea kazi tunavyo basi tujaribu then kesho mrejesho.
 
KWA NINI WANAUME HULALA BAADA YA TENDO LA NDOA?

Utafiti wa jarida la Sayansi ya Mishipa ya Fahamu na Tabia uliochapishwa mwaka 2012 umebaini kuwa, dawa za usingizi hufanya kazi sawa na tendo la ndoa kwa wanaume.

Eneo la mbele la ubongo ‘pre –frontal cortex’, ambalo linahusiana na ufahamu, au umakini wa kiakili, huzima au kufungwa baada ya kumaliza tendo hilo.

Kwa baadhi ya utafiti, wanaume kumaliza tendo la ndoa, ni sawa na kunywa dawa za usingizi za ‘diazepam’ zenye ukubwa wa miligramu mbili.

Pia, vichocheo vinavyotoka baada ya tendo hilo kama ‘melatonin,’ ‘oxytocin’ na ‘vasopresin’, zinamsababisha mwanaume apate usingizi mzito.
It helps me ( us ) to recharge or renew our appetite and strength for the next round or encounter
 
Back
Top Bottom