Kwanini wanaume hulala baada ya tendo la ndoa?

Kwanini wanaume hulala baada ya tendo la ndoa?

Ukitaka ulale hadi uibiwe kwa demu, piga zako bia za kutosha, halafu kapige bao halafu ujidai eti unapumzika kutafuta la pili, ukishituka kumekucha.
hapo kinachokulaza ni pombe,hata usipopiga mashine utalala tu,
 
Yawezekana...! Japo mimi napiga show ya kistaarabu dk 45, nikimaliza narudi sebuleni naaangalia game za Spain (La liga) usiku saa tano mpaka saba. narudi bedi, nampa mamsapu kimoja cha ushindi, kama Barca kashinda lakini. Asbh saa mbili-tatu nampa tena kingine cha dk30. Then tunaamka, tunapiga supu safi, mambo mengine yanaendelea
kazini saa ngapi mkuu?
 
KWA NINI WANAUME HULALA BAADA YA TENDO LA NDOA?

Utafiti wa jarida la Sayansi ya Mishipa ya Fahamu na Tabia uliochapishwa mwaka 2012 umebaini kuwa, dawa za usingizi hufanya kazi sawa na tendo la ndoa kwa wanaume.

Eneo la mbele la ubongo ‘pre –frontal cortex’, ambalo linahusiana na ufahamu, au umakini wa kiakili, huzima au kufungwa baada ya kumaliza tendo hilo.

Kwa baadhi ya utafiti, wanaume kumaliza tendo la ndoa, ni sawa na kunywa dawa za usingizi za ‘diazepam’ zenye ukubwa wa miligramu mbili.

Pia, vichocheo vinavyotoka baada ya tendo hilo kama ‘melatonin,’ ‘oxytocin’ na ‘vasopresin’, zinamsababisha mwanaume apate usingizi mzito.


Pia mwanamke kuwa gogo inachochoe sana. Utakuta mwanaume unafanya chini juu kum-please mwanamama ajisikie yuko peponi, when it comes to her working anaanza oh mimi sijuwi nifanyeje, utamkalisha na kumfundisha atakuambia miguu inaiuma, nimechoka bwana. Mze unaanza tena kwa hasira kujibinya na mwishowe wa zoezi viuongo vyote hoi, na useme utumie Viagra ili upata nguvu zaidi usilale; kuna mawili.....kuzimia au usiamke moja kwa moja. Ndiyo maana mimi nikishitukia tu huyu bidada ni gogo, nachapa vitatu vyangu kujifurahisha mwenyewe then nasepa na nikumuona kitaa namchunia tena kwa hasira za kigaidi, sitaki aniue kabla ya wakati.
 
Sijawahi lala wala sinzia aiseee... labda kupumzika tu sawa... Macho makavu kama nimetafuna mirungi...
 
ata mwanamke ukimfikisha lazima alale tena usingizi mzito sana.
 
kazini saa ngapi mkuu?


Hee, kweli kabisa job saa ngapi. Halafu jamani huu uongo wa kutuaminisha kuwa eti nyie ni wajuzi saaana wa mavituzi kumbe hamna lolote..! Ukweli mnajua wenyewe na wenzi wenu wana siri zenu.
 
Back
Top Bottom