Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ndefu sana.
naongezea tu, tena hivyo vitu adimu huwa kwa kawaida haviombwi hata kwa mpenzi unayetegemea kumuoa
Ndio nyie nyie
Mke ana thamani sana kuliko nyumba ndogo ndo maana akaolewa.
Kosa la baadhi ya wanawake ni kutokuukubali ukweli kuwa mwanaume hajawahi kutosheka na mwanamke mmoja. Kosa alilolifanya huyo mwanamke ni kwenda kuvamia poozeo la mmewe linalomfariji mara anapotaka faraja mbadala.
Mwanamke mwenye busara za kutosha ahangaiki kumfuatilia mmewe, kama mmewe anamtimizia mahitaji yote ya kimwili, kikojoleo, na kifamilia. Ni kujitafutia presha bure tu.
Mpe pole huyo mama, mwambie akome kumfuatilia mwanaume rijali, atakufa bure aache wanae wanateseka.
hapana ICHANA si kirahisi tu kihivyo,unjua hata wanawake nao ni watu na wana hisia pia mbona wao wakisalitiwa wanaumia?kwa nini wewe usiumie eti kwa kuwa tu ni mwanume kamili?kwani wewe sio mwanamke kamili?
sawa basi tuseme wanawake wameamua kukubali kuwa haiwezekani mwanaume kuwa na mwanamke mmoja tu,vipi kuhusu kudhalilishwa mbele ya kimada wa mumeo?hilo pia likubaliwe na kufumbiwa macho tu?
Hapo kwenye bluu ni waliokamilika au wasiokamilika?!
bhikola can you please at least explain what you realy mean by your statement?
ukishatambua kuwa mwanaume ni LIJALI....maisha ni mafupi sitaki stress kwa maana ukimfatilia ndo mwanzo wa matatizo yaziyoisha na kudhalilika mbele ya mumeo
ni bora kichaa uliyemzoea KULIKO mwendawazimu mpya
nshujua lazima wawe na nyumba ndogo ntaangalia mimi na watoto wangu kama ananipa haki yangu,anahudumia watoto,hela ya matumizi,upendo ,act as father anafanya yaliyo wajibu wake bhaasi
sitonyanyua miguu wala sitahitaji kumfuatilia kwa maana nawezwa pigwa au kuuwawa na nikawaacha wanangu yatima
inauma sana kupigwa na mumeo mbele ya kimada na ndo mana ukimchunguza sana bata hutamla
hata ukisema tusiyafumbie macho hawa viumbe wanaume hawababeki...hta akiomba msamaha ashampiga haina umaana wowote
Mke ana thamani sana kuliko nyumba ndogo ndo maana akaolewa.
Kosa la baadhi ya wanawake ni kutokuukubali ukweli kuwa mwanaume hajawahi kutosheka na mwanamke mmoja. Kosa alilolifanya huyo mwanamke ni kwenda kuvamia poozeo la mmewe linalomfariji mara anapotaka faraja mbadala.
Mwanamke mwenye busara za kutosha ahangaiki kumfuatilia mmewe, kama mmewe anamtimizia mahitaji yote ya kimwili, kikojoleo, na kifamilia. Ni kujitafutia presha bure tu.
Mpe pole huyo mama, mwambie akome kumfuatilia mwanaume rijali, atakufa bure aache wanae wanateseka.
unaona ulivyocomment ICHANA unazunguka pale pale kwamba hata kama mume ana vimada huko nje heshima iwepo basi,na heshima ikiwepo ndo hapo mume anakuwa mtunzaji mzuri wa familia na kumtunza mkewe na watoto wake,na kama mume wako yuko hivyo mshukuru Mungu mara mbili mbili,heshima ikikosekana ndani ya nymba ndo hapo mume vitimbi haviishi mara aache 1000/= au asiache kabisa,inauma sana eti kisa nyumba ndogo,halafu ICHANA mambo mengine wala sio kwamba wewe ndo mfuatiliaji NO mambo yanakufata ulipo,unakuta kimada anaamua kukuchokoa huko huko uliko kama kukuandikia meseji kukutusi au hata kukupigia simu na kukutusi,unafanyaje hapo ICHANA?
Miss Blue G kwa kuzingatia namba 6 kwa thread yako hivi unafikiri kila kitu unachokipata nje unaweza kukaa chini na mkeo kumuomba naye akupatie? Uzuri nyumba ndogo zinajua fika kabisa kuwa kwa heshima ya ndoa ilivozoeleka kuna baadhi ya vitu mke hawezi mpa mumewe. Naye ndo anavitumia ili kuziba pengo la anachokimisi mwanaume.
Mchepuko is inevitable. Take it from me.
WALIOKAMILIKA...samahani kwa typing error
laiti ingefaa ningekupa like 100 TIMES nami nimeaambia huku kweye blue ndo ukweli wenywe
watakufa waache watoto yatima au apate kovu la uzeeni kisa nini...
sifuatili mtu yoyote as long as ananipa mhitaj yangu
nakubaliana na wewe katika baadhi ya mambo na mengine napingana na wewe kwanza sikubaliani na wewe kwamba mwanaume hatoshekii na mwanamke mmoja mi naamini kama upendo upo wa kweli na hamna migogoro na kila mtu anaplay part yake basi mwanume unaweza ukatosheka na mke mmoja kuna mbinu nyingi za mwanmke kumfanya mmewe atosheke nae na hata ikitokea mwanaume hajatosheka basi dini ya uislamu inaruhusu mwanaume kuoa wake mpk wanne lakini hata kama sio muisalmu hawezi kuoa mke zaidi ya mmoja hicho sio kigezo cha mume kumvunjia heshima mkewwe yaani unamcheat tena zaidi ya mara moja alafu usione kosa kiasi cah kukmba msahamha na mkeo unampiga mi naamini huyo mwanaume ana matatizo huwezi ukajisahau kiasi hiicho kwa mkeo inabidii umpe heshima yake,huwezi ukampa hawala kipaumbele zaidii.1...
Umalaya ni tabia anayoweza kuwa nayo mtu yoyote! ie me and/or ke!
2...
Kimaumbile me hawezi kutosheka na ke m1 labda awe hayuko sawa sawa! Hii ni tofauti na ke! Ke hata awe sawa sawa vipi anaweza kutoshelezwa na me m1 tu aliesawasawa!
Hata madokta wamethibitisha ke anasiku saba tu za kutamani kuliwa ndani ya mzunguko wake wa mwezi!
Hii ni tofauti na me ambaye anatamani siku zote, kwa nguvu ile ile!
Kuna siku niliskia wamama wakijadili "me ni wakorofi na wanapenda sana kungonoka! Mme wangu akiwa nyumbani, nakosa nafasi ya kulala mchana, akiniona tu kitandani anataka ani......! Naamua kupumzika sebuleni kuepusha usumbufu wake!"
3...
Sikubaliani na kejeli alizofanya huyo me dhidi ya mkewe kama ulivyoelezea kwa thired!
4...
Heshima ni muhimu sana ktk ndoa, hauwezi kumkosea mtu alafu ukampa majibu ya kifedhuli!
5...
Kwa kuzingatia maelezo ya nö 2, ke hamtakiwi kuwafatilia sana me wenu!
6...
Me na ke wanautofauti mkubwa wa kimaumbile, uhitaji na kihisia, hivyo basi anayofanya me usiyalinganishe na ya ke huku ukitegemea na me avumie kama ke wanavyovumilia dhidi ya me katika suala zima la usaliti!
...
I hope nimesomeka hapo!