Tyta
JF-Expert Member
- May 21, 2011
- 12,767
- 10,528
Mtu kaoa juzi tu hata wiki mbili hazijaisha,Anatongoza na kutoa ahadi kedekede,
Lakini ukweli ni kwamba yupo kwenye ndoa,
mie najiuliza tatizo ni nini hasa kwa hawa kaka zetu?
Kutulia na mke mmoja hamuwezi?
BADILIKA TAFADHALI.
Huu udini umeuanza lini Tayta?
...
Hivi ni watu wa dini gani hawachepuki?
kwa wanaoruhusiwa mke zaidi ya mmoja....je wamepewa muda mpaka waanze kutafuta mke mwingine?
N/B...THERE IS NOTHING EITHER GOOD OR BAD ...BUT THINKING MAKE IT SO.....