ICHANA
JF-Expert Member
- May 10, 2012
- 4,766
- 3,595
lakin najua unatambua kuwa wanawake ndio weng kuliko wanaume........ Hebu nikuulize........ Ungejiskiaje kuona wanaume wote wametulia na wake zao wakat huo ww peke yako ndio hujaolewa na hakuna mwanaume yeyot anayekutongoza ungejiskiaje hapo?! Sisi tunafanya hvyo kuwaondolea stress wale ambao hawajaolew na waliotendwa ili na wao wajiskie kuwa wanapendwa. Kwahyo msitulaumu sana tupo kwaajili ya kuwapa moyo waliokata tamaa
Mmmmh hat kama wanawake tupo weng hiyo sio tabia nzuri ya michepuko bora uoe ijulikane..mmezid tabia za kuchepuka...
Kama cijatongozwa au kuolewa fny it means ni mapenz ya Aliyeniumba...
Don't take granted kwa gals walioumizwa ukidhani kutembea nae ndo kumpunguzia machungu