Kwanini wanaume huwa na michepuko?

Mkuu unakubaliana na mimi wanawake wanazeeka haraka kuliko wanaume? Mke anakuwa bibi mume bado kabisa kijana halafu ila siku wanazid kuzaliwa wazuri

We hujanielewa.Mi siungi mkono maana naamini mke Wangu lazima nimkubali kuanzia uzuri wa sura hadi tabia.Mi mke Wangu nimemzidi miaka mingi ili kuepuka tatizo la mimi kumtangulia kuzeeka au yeye kuzeeka kabla yangu.EPUKA MICHEPUKO.
 
hawa viumbe hutofautiana.
joto, sauti, maumbile ya nje na ndani, size ya mfereji, n.k.
kutoka nje sio kwamba tuna nguvu nyingi sana, no. bali ni kile unachokikosa ndani ndio kinachotutoa nje.
 
Nashangaa!!Nikimpenda mwanamke namwambia Kuwa nimeoa;Ila yeye anafanya kila njia njia ili mke Wangu asijue uku akinishawishi nimuoe bila kujua kuwa nikimuoa nitachepuka tena .
 
Heshima kwako mtoa mada. naunga mkono hoja kwa 101%. kugegeda demu 1 kila siku kunachosha. mchepuko ndio mpango mzima.
 

We dogo ni jiniaz sana. Wanaume wanafiki wanaukataa huu ukweli hadharani lakini huko chocho wanapiga sana tu. Na wanawake wenye busara wanaujua huu ukweli thabiti na wanaukubali kimoyomoyo.

Kaizer kwa ruhusa yako, naomba kumsajidi huyu dogo kwenye chama chetu. Ada ntamlipia mimi.
 
Last edited by a moderator:

The devil your god has done a very good job in equipping you with facts.
 
Kama Mungu angejua hilo angeandika tuoe wake wengi, ila yeye kwa Sababu ni Mungu mmoja hapendi mwanadamu aabudu mungu mwingine, hivyo mwanadamu kuwa na mke wa pili ni sawa na kuwa miungu miwili.
Huwezi tumikia mabwana wawili
 
Mkwe naona unashindana na Mungu......
Yeye aliumba Adam na Eva, angeweza kabisa kuumba Kaizer na Kaunga, Fixed point, snowhite, cacico, gfsonwin, King'asti, Kongosho, Ablessed, ............
Mnajihalalishia tu vitu ambavyo Mungu hakuvipanga..........
Hata wakati wa dhoruba kuu tu, Mungu alimwambia Nuhu achukue kila kiumbe, mke na mume, na siyo mume na wake.......
Usiharibu utaratibu wa Mungu kwa tamaa ya mwili mkwe
 
Last edited by a moderator:
Nikimpata asiye chepuka nitampenda milele bila mzani wa upendo kucheza
 
Mnang'ang'ana kutaka muwe na wanawake zaidi ya mmoja ilhali huyo mmoja tu kumridhisha hamuwezi,wengi wenu kwisha habari,no nguvu za kiume,zilizopo ni za kukisimamisha kidude tu lkn Za game ya maana hakuna!

Nami nishawaambiaa
 
Mnang'ang'ana kutaka muwe na wanawake zaidi ya mmoja ilhali huyo mmoja tu kumridhisha hamuwezi,wengi wenu kwisha habari,no nguvu za kiume,zilizopo ni za kukisimamisha kidude tu lkn Za game ya maana hakuna!

umesema kwa hasiraaaa....
 
Kajenereta muhim kwan umeme wa tanesco sio wa uhakika
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…