Kwanini wanaume huwa na michepuko?

ni kweli asimilia kubwa sana ya wanaume huchepuka ila wengine wao ni kama wanakuwa na kapepo ka ngono hivi maana hapitwi na sketi,utasema ni mashindano au mwisho wa mwezi analipwa kutokana na wanawake aliolala nao
 
"tumeachana ...aliniaga anaenda kulala kwa shoga'ke.................kumbe shoga'ke nimekesha na mimi guest" Mkude Simba!
 
Mnang'ang'ana kutaka muwe na wanawake zaidi ya mmoja ilhali huyo mmoja tu kumridhisha hamuwezi,wengi wenu kwisha habari,no nguvu za kiume,zilizopo ni za kukisimamisha kidude tu lkn Za game ya maana hakuna!

punguza hasira basi!
 
Mimi sijui ntaweza nikioa,maana bado sijaoa ila michepuko imeniganda nashndwa kuiacha.
 
Wanaume wa ajabu sana nyie. Kila siku mnakuja kujustify hili. Mbona tulishakubaliana mchepuke tu. Kuchepuka kuko toka zamani hatujakataa. Tatizo lenu hamna pumzi kama za babu zenu. Mnaponza wake zenu kuchepuka. Babu zenu walikuwa wanachepuka na wakirudi nyumbani wanaweka heshima!
 
kombe la dunia linaendelea naomba up dates za mechi ya jana tafadhali
 
Umenikumbusha Jana nkiwa kwenye gari,nlikaa na mdada mmoja alikuwa anaongea na rafiki yake,bila woga anamwambia mwenzake kuwa Ana wanaume wanne ila anayetaka kumuoa yy hampendi,kwa hiyo women and men are nowadays cheating!!!
 
Mnang'ang'ana kutaka muwe na wanawake zaidi ya mmoja ilhali huyo mmoja tu kumridhisha hamuwezi,wengi wenu kwisha habari,no nguvu za kiume,zilizopo ni za kukisimamisha kidude tu lkn Za game ya maana hakuna!

Bora uzidi kuwapasha kwan wanaona kuchepuka ni siifaaa kumbe hawana lolote
 
Hili kombe la dunia limerahisisha sana utekelezaji wa hii kitu,ingekuwa vizuri likawa linafanyika kila mwaka hukohuko amerika kusini.
 
Kabla hujaoa hakikisha unampata mwanamke unayempeda kwa dhati hiyo michepuko utaisikia tu
 
wengine wanaishia kukuchafua tu nguvu hakuna jumlisha vibamia sijui hata hiyo michepuko ya nn

Wanaishia kujiaibisha tu wajirekebishe kwanza wawe na nguvu sio michepuko michepuko
 
Inategemea na aina ya mwanamke uliemchagua awe mkeo.Kama ulikurupuka na kuchukua alie chini ya kiwango jua kila utakaepishana nae utamwona ni zaidi ya wa kwako.Utakua dungadunga mwisho wa siku mradi wa damu salama hautakuhusu.

Watu wanapendwa na J LO na bado wanachepuka.mwanamke hata awe mzuri vip mwanaume lazima achepuke
 
Na siku hiz wala hamuwez kazi hao wanawake mtawalamba tu maana nguvu za kuboost

Hahaha...hizi nguvu za kuboost ndo zile mpaka wachokonolewe exhaust? Nieleweshe apa maana naskia ma dada massage ndio kazi yao kuwaboost!!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…