Kwanini wanaume huwa na michepuko?

Wengine wanaweza sema wewe huwezi sio unatoa mjumuisho wako wa kipuuzi hapa
 
Inategemea na aina ya mwanamke uliemchagua awe mkeo.Kama ulikurupuka na kuchukua alie chini ya kiwango jua kila utakaepishana nae utamwona ni zaidi ya wa kwako.Utakua dungadunga mwisho wa siku mradi wa damu salama hautakuhusu.

aaah wap umedanganya ndug. . mie naona kabisa mtu unakuta ana mke mzuri ajabu.. cha kushangaza bado anachepuka
 
An open secret siyo kuchepuka ile ni short cut nakuwapa mapunziko wake zetu. kule shortcut hakuns vidingizio ohh lro nimechoka ssna mara siko kwenye moody mara nina assyment. ya ofisi. mbsya kuweka kambi akacha kutumia kondom.
 
Kila nikiwaza labda na yeye anachepuka, natamani kumeza glass ya konyagi.
 
Tatizo wanaume wengi wanafikiri wanawake wao huwa hawachepuki.yani wanajiaminisha sana sijui kwanini..tena mbaya zaidi mwanamke agundue kuwa mumewe ni mchepukaji, nakwambia kama anaupenyo atachepuka tu nayeye
 
Haya bhana,kama hamtaki michepuko kaeni njia kuu muone matatizo ya foleni !
 
kwi kwi kwi! Umemaliza best! Harudi tena huyo, looool
 
Ungekosa kuchangia huu uzi, tena kwa kuu-support HAKIKA NINGEJITOA JF, LEO HII!, hubby najua mi ndio wa mwisho, hutachepuka tenaaaaaa!
 
Kama kuchepuka kwa "delicious One Night Stand" ni sawa tu..lakini sio kuweka kambi, lols
 
Mnang'ang'ana kutaka muwe na wanawake zaidi ya mmoja ilhali huyo mmoja tu kumridhisha hamuwezi,wengi wenu kwisha habari,no nguvu za kiume,zilizopo ni za kukisimamisha kidude tu lkn Za game ya maana hakuna!

Mbona wakitoka nje wanaweza? Tatizo lipo kwenu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…