Kwanini wanaume huwa na michepuko?

Kwanini wanaume huwa na michepuko?

Attachments

  • 1403112401283.jpg
    1403112401283.jpg
    3.7 KB · Views: 333
Asilimia kubwa ya wanaume walio ktk mahusiano wanachepuka na hata wakiingia ktk ndoa haka katabia hakaishi. Genetical mwanaume hakuumbwa kwa ajili ya mwanamke mmoja hii nguvu ya asili ni ngumu kuishinda. Sio mbaya mara moja moja kuwa na mechi za nje ila kuwa makini tu achana na michepuko ya vumbi utachakaa.

!
!
kuchepuka au kuchepukwa hiyo ni kama haki ya msingi mno kwa watu mnaopendana. Tena nitaipendekeza iingizwe katika katiba mpya.
 
Wanawake wengi walioajiliwa ndio wachepukaji hatari. Hii iliwahi kutokea Tanesco, TTCl posta hospital na police watu wengi walikufa kwa ukimwi. Siku hizi ukimwi sio issue eti issue nimimba. Hatari iliyoje!!
 
Asilimia kubwa ya wanaume walio ktk mahusiano wanachepuka na hata wakiingia ktk ndoa haka katabia hakaishi. Genetical mwanaume hakuumbwa kwa ajili ya mwanamke mmoja hii nguvu ya asili ni ngumu kuishinda. Sio mbaya mara moja moja kuwa na mechi za nje ila kuwa makini tu achana na michepuko ya vumbi utachakaa.
men are born polygamist in nature, but it takes a real man to realize that one woman in enough.
 
Ni nachoamini hakuna mwanaume mwny uwezo wa kubak njia kuu pekee ila wanahitaj kujua wanawake walionao wanahisia kama wao hvy kuhakikisha wakeze wasihis kusalitiwa kwa lolote... nwdays michepuko wanawake wanafanya saana na ni pale wanaume wengi wanapuuza swala la kiridhishana kwa bed ; hvy userios unatakiwa uonekane hasa kwa latest menssssszzz
 
Kwa wale wa brazuca; Croatia 4 Cameroon 0, dk ya 75 sasa
 
Hiyo ni nature, na bahati mbaya we can not escape from nature. Na ndio maana mungu ameumba wanawake wengi kuliko wanaume, sorry the ladies.


Sent from my iPhone using JamiiForums app
 
Umeona eeh, ndio ile ile ya kuassume hawezi kuwa muaminifu. Mimi yaani nina amani tele na siwazii kama anaweza chepuka. Na kwa sauti nasema HACHEPUKI. (Maneno huumba ati)

Mambo rafiki, long time. Sijui nini kilitokea, au ndio mishe mishe za maisha.
we mwache Kongosho ajiwazishe tu, maneno huumba kabisaaaa
mwenyewe anasema eti ni limited, kweli?
Rafiki nipo, mambo ni mengi. Nitakutafuta leo baadae, ngoja nisongeshe kakitu kadogo then nitakutafuta.
 
Last edited by a moderator:
Ha ha ha! Duh. Akichepuka mwanaume mnasema asili, akichepuka mwanamke anastahili adhabu
 
Huko kuchepuka u better make it a secret,ukiendekeza dharau siku mkeo akichoka ndo utaisoma namba na rangi zote utajua
 
Na hichi ndicho kinachosababisha kunakuwa hamna tena mapenzi ya kwel na watu hawataisha kulalamika wanaumizwa,,mf mwanaume akigundua mpenz wake anachepuka anaweza ata akamuua
 
Mkwe naona unashindana na Mungu......
Yeye aliumba Adam na Eva, angeweza kabisa kuumba Kaizer na Kaunga, Fixed point, snowhite, cacico, gfsonwin, King'asti, Kongosho, Ablessed, ............
Mnajihalalishia tu vitu ambavyo Mungu hakuvipanga..........
Hata wakati wa dhoruba kuu tu, Mungu alimwambia Nuhu achukue kila kiumbe, mke na mume, na siyo mume na wake.......
Usiharibu utaratibu wa Mungu kwa tamaa ya mwili mkwe
Jamani habari za siku nyingi. Unajua kuna vitu ambavyo jamii imezoea kuvifanya sasa watu wamejikuta wakihalalisha hata yasiyompendeza Mungu huku wakipumbazwa na ulimwengu au wengine wanasema maendeleo na wengine wanasema kuishi na mmoja haiwezekani kwasababu binadamu ni dhaifu n.k. Sasa inakua ngumu hata kwenye kuelimishana kwani wengine tumeingia ganzi kiasi kwamba nafsi zetu hazitusuti tena yaani ile sauti ya ndani imekufa.
 
Nimekuwa nikijiuliza kuhusiana na hii tabia ya wanaume kuwa na wanawake zaidi ya mmoja hivi nini sababu? Au kwanini hamridhiki na mwanamke mmoja? Hili jambo limekithiri kwa sana.

Karibuni wakuu tujadiliane
 
ctakusahau

Koz ni kama kila siku ule wali.? Hata kama upo boarding utachoka na utafanya mgomo mnataka ugali na bnz zilizooza...! Rodger dat
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom