BOMBAY
JF-Expert Member
- Apr 16, 2014
- 4,732
- 3,508
Cku ukijajua anachepuka utameza glass ya tindikali
HACHEPUKI (Maneno huumba, hata moyo wangu unaamini vile)
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
HACHEPUKI (Maneno huumba, hata moyo wangu unaamini vile)
uchepuke na mke wangu patawaka bila motoMind you, hata njia kuu yako ndo mchepuko wa mwenzako
Asilimia kubwa ya wanaume walio ktk mahusiano wanachepuka na hata wakiingia ktk ndoa haka katabia hakaishi. Genetical mwanaume hakuumbwa kwa ajili ya mwanamke mmoja hii nguvu ya asili ni ngumu kuishinda. Sio mbaya mara moja moja kuwa na mechi za nje ila kuwa makini tu achana na michepuko ya vumbi utachakaa.
men are born polygamist in nature, but it takes a real man to realize that one woman in enough.Asilimia kubwa ya wanaume walio ktk mahusiano wanachepuka na hata wakiingia ktk ndoa haka katabia hakaishi. Genetical mwanaume hakuumbwa kwa ajili ya mwanamke mmoja hii nguvu ya asili ni ngumu kuishinda. Sio mbaya mara moja moja kuwa na mechi za nje ila kuwa makini tu achana na michepuko ya vumbi utachakaa.
we mwache Kongosho ajiwazishe tu, maneno huumba kabisaaaaUmeona eeh, ndio ile ile ya kuassume hawezi kuwa muaminifu. Mimi yaani nina amani tele na siwazii kama anaweza chepuka. Na kwa sauti nasema HACHEPUKI. (Maneno huumba ati)
Mambo rafiki, long time. Sijui nini kilitokea, au ndio mishe mishe za maisha.
Ndo ivo.....ukiona unachepuka na Hilo liwaze pia
wanaweza nani kasema,mchepuko anavumiliaMbona wakitoka nje wanaweza? Tatizo lipo kwenu
Jamani habari za siku nyingi. Unajua kuna vitu ambavyo jamii imezoea kuvifanya sasa watu wamejikuta wakihalalisha hata yasiyompendeza Mungu huku wakipumbazwa na ulimwengu au wengine wanasema maendeleo na wengine wanasema kuishi na mmoja haiwezekani kwasababu binadamu ni dhaifu n.k. Sasa inakua ngumu hata kwenye kuelimishana kwani wengine tumeingia ganzi kiasi kwamba nafsi zetu hazitusuti tena yaani ile sauti ya ndani imekufa.Mkwe naona unashindana na Mungu......
Yeye aliumba Adam na Eva, angeweza kabisa kuumba Kaizer na Kaunga, Fixed point, snowhite, cacico, gfsonwin, King'asti, Kongosho, Ablessed, ............
Mnajihalalishia tu vitu ambavyo Mungu hakuvipanga..........
Hata wakati wa dhoruba kuu tu, Mungu alimwambia Nuhu achukue kila kiumbe, mke na mume, na siyo mume na wake.......
Usiharibu utaratibu wa Mungu kwa tamaa ya mwili mkwe