Kwanini wanaume huwa na michepuko?

Kwanini wanaume huwa na michepuko?

Asilimia kubwa ya wanaume walio ktk mahusiano wanachepuka na hata wakiingia ktk ndoa haka katabia hakaishi. Genetical mwanaume hakuumbwa kwa ajili ya mwanamke mmoja hii nguvu ya asili ni ngumu kuishinda. Sio mbaya mara moja moja kuwa na mechi za nje ila kuwa makini tu achana na michepuko ya vumbi utachakaa.
Wengine wanaweza sema wewe huwezi sio unatoa mjumuisho wako wa kipuuzi hapa
 
Inategemea na aina ya mwanamke uliemchagua awe mkeo.Kama ulikurupuka na kuchukua alie chini ya kiwango jua kila utakaepishana nae utamwona ni zaidi ya wa kwako.Utakua dungadunga mwisho wa siku mradi wa damu salama hautakuhusu.

aaah wap umedanganya ndug. . mie naona kabisa mtu unakuta ana mke mzuri ajabu.. cha kushangaza bado anachepuka
 
An open secret siyo kuchepuka ile ni short cut nakuwapa mapunziko wake zetu. kule shortcut hakuns vidingizio ohh lro nimechoka ssna mara siko kwenye moody mara nina assyment. ya ofisi. mbsya kuweka kambi akacha kutumia kondom.
 
Kila nikiwaza labda na yeye anachepuka, natamani kumeza glass ya konyagi.
 
Tatizo wanaume wengi wanafikiri wanawake wao huwa hawachepuki.yani wanajiaminisha sana sijui kwanini..tena mbaya zaidi mwanamke agundue kuwa mumewe ni mchepukaji, nakwambia kama anaupenyo atachepuka tu nayeye
 
Haya bhana,kama hamtaki michepuko kaeni njia kuu muone matatizo ya foleni !
 
mkwe naona unashindana na mungu......
Yeye aliumba adam na eva, angeweza kabisa kuumba kaizer na kaunga, fixed point, snowhite, cacico, gfsonwin, king'asti, kongosho, ablessed, ............
Mnajihalalishia tu vitu ambavyo mungu hakuvipanga..........
Hata wakati wa dhoruba kuu tu, mungu alimwambia nuhu achukue kila kiumbe, mke na mume, na siyo mume na wake.......
Usiharibu utaratibu wa mungu kwa tamaa ya mwili mkwe
kwi kwi kwi! Umemaliza best! Harudi tena huyo, looool
 
We dogo ni jiniaz sana. Wanaume wanafiki wanaukataa huu ukweli hadharani lakini huko chocho wanapiga sana tu. Na wanawake wenye busara wanaujua huu ukweli thabiti na wanaukubali kimoyomoyo.

Kaizer kwa ruhusa yako, naomba kumsajidi huyu dogo kwenye chama chetu. Ada ntamlipia mimi.
Ungekosa kuchangia huu uzi, tena kwa kuu-support HAKIKA NINGEJITOA JF, LEO HII!, hubby najua mi ndio wa mwisho, hutachepuka tenaaaaaa!
 
Kama kuchepuka kwa "delicious One Night Stand" ni sawa tu..lakini sio kuweka kambi, lols
 
Mnang'ang'ana kutaka muwe na wanawake zaidi ya mmoja ilhali huyo mmoja tu kumridhisha hamuwezi,wengi wenu kwisha habari,no nguvu za kiume,zilizopo ni za kukisimamisha kidude tu lkn Za game ya maana hakuna!

Mbona wakitoka nje wanaweza? Tatizo lipo kwenu
 
Back
Top Bottom