Kwanini wanaume huwa na michepuko?

Kwa kifupi, unapoanza tu kuchepuka na mwenzio huku anaanza kuchepushwa.
Ni asili pia.
 
hiyo avatar yako mie hoi ahahahahahaaaaaaaaa
 

“Genetical“ ndio kitu gani mkuu?
 
Hata kwa dawa mchepuko siwezi nabaki njia kuu. Namuomba Mungu azidi kuwa nami niendelee kuwa hivyo mpaka kifo kitutenganishe na mke wangu.
 
kwa hiyo imekuwa sifa sio? hahahaha haya hongereni na michepukooooo mpo juu!!!!!!
 
Mungu wa kweli aliposema oeni wanawake mwisho wanne hakukusea coz anajua jins alivyotuumba
 
Hahahahahaha ukiona hivyo bac ujue nae anachepuka
Nashangaa!!Nikimpenda mwanamke namwambia Kuwa nimeoa;Ila yeye anafanya kila njia njia ili mke Wangu asijue uku akinishawishi nimuoe bila kujua kuwa nikimuoa nitachepuka tena .
 
Unajidanganya ww,mzungu kakupoteza
Kama Mungu angejua hilo angeandika tuoe wake wengi, ila yeye kwa Sababu ni Mungu mmoja hapendi mwanadamu aabudu mungu mwingine, hivyo mwanadamu kuwa na mke wa pili ni sawa na kuwa miungu miwili.
Huwezi tumikia mabwana wawili
 
Mungu wakweli karuhusu mwisho wake wanne,coz alivyotuumba anajua na wanawake ni wengi kuliko wanaume
 
Last edited by a moderator:
kwa nini ujitwishe mawazo kama haya rafiki?
kwani na wewe unachepuka?

Umeona eeh, ndio ile ile ya kuassume hawezi kuwa muaminifu. Mimi yaani nina amani tele na siwazii kama anaweza chepuka. Na kwa sauti nasema HACHEPUKI. (Maneno huumba ati)

Mambo rafiki, long time. Sijui nini kilitokea, au ndio mishe mishe za maisha.
 
Unakwepeka sema hamjaamua tu mnajilinda kwa hilo angalieni sana
 
Naunga mkono hoja yako best "hachepukiki kamwe"
umeona eeh, ndio ile ile ya kuassume hawezi kuwa muaminifu. Mimi yaani nina amani tele na siwazii kama anaweza chepuka. Na kwa sauti nasema hachepuki. (maneno huumba ati)

mambo rafiki, long time. Sijui nini kilitokea, au ndio mishe mishe za maisha.
 
HACHEPUKI (Maneno huumba, hata moyo wangu unaamini vile)

Umeona eeh, ndio ile ile ya kuassume hawezi kuwa muaminifu. Mimi yaani nina amani tele na siwazii kama anaweza chepuka. Na kwa sauti nasema HACHEPUKI. (Maneno huumba ati)

Mambo rafiki, long time. Sijui nini kilitokea, au ndio mishe mishe za maisha.
 
Basi wamekufikisha lol!

 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…