Nimekuwa nikijiuliza kuhusiana na hii tabia ya wanaume kuwa na wanawake zaidi ya mmoja hivi nini sababu? Au kwanini hamridhiki na mwanamke mmoja? Hili jambo limekithiri kwa sana.
Karibuni wakuu tujadiliane
kwa nini turidhike mbona kila siku tunakula chakula japo tunashiba ?
Mbona huwa sisikii mkivitongoza vibibi vya 70yrs and above maana hili kundi wengi wako hai na ni wajane na hawa ndio wanaofanya wanawake wawe wengi otherwise idadi ni sawa tu sema wanaume wanakufa mapema sana
Wanajiendekeza Tu Uchi Uleule Radha Moja Coni Mm Kilichobdilika Nn Nyege Zenu Tu Puuuuh Cwapendi Wanaume
kumbe unaweza ukaandika tu thread
kwa nini turidhike mbona kila siku tunakula chakula japo tunashiba ?
Wanatamaa na ss wanawake mavazi tunayovaa yanaleta vishawishi kwa wanaume hata kama anapenda ataweza kutulia na mmoja siku zote
Njaa inahitaji chakula kupungua amakuisha kwa mda huo but unabadilisha chakula kutokana hamu uliyo nayo ndio maana mtu leo nyama ya ngombe kesho mbuzi mara kitimoto au kondoo nyama ile ile but hamu imetaka ubadilishe tu
Endeleea kuwachukia wanaume wao wataendelea kula chakula kwa kuwabadlisha
Kweli kabisaa! sie tunajisahau saaana unakuta mtu kabla hajaolewa anajituma! sarakasi zote anaputuka anajifanya mwepesii kama mjapani! akishaolewa tuu anayaacha yote! hapo ndipo mambo huanza kwenda mrama ye atatafuta mchawi. Mengine twakosea wenyewe na tunakua wa kwanza kulia.
mimi nadhani ni asili tu ya wanaume tulivyo maana hasa kwa waafrika(na wengine pia) ukiangalia zamani huko hata kabla ya hizi dini kuja mababu zetu walikuwa na wake wengi
la boyfriend wangu najua tu analitembeza huko
Hahaha!! umenichekesha sana,kwa wakati ule iliwalazimu wanawake watulie tu maana wanaume walikuwa madikteta kweli kweli lakini kwa sasa haya mambo ya haki sawa na huu utandawazi unawafanya walete nongwaAlafu wao walikuwa wanachukuliwa poa tu, nashangaa sisi kama tunabaniwa vile! michepuko 2 tu, nongwa!
Hii mada imependelea upande mmoja wa wanaume lakini mwanaume kuwa uhusiano na mwanamke zaidi ya mmoja kwa waislamu dini zao zinaruhusu kwa wengine ni tamaa tuu.
Nimesoma michango yako hapa unaonekana unabusara ningekuwa single ningekuPM nianze michakato ya kuoa. Haaaaaahaaaaaa