Kwanini wanaume huwa na michepuko?

Kwanini wanaume huwa na michepuko?

Umekurupuka,fanya utafiti mdogo tu utagundua sio wanaume pale wanawake ndio wanaongoza kwakuchepuka

Tena mwingine anajitongozesha kwa mwanaume akijua kabisa huyo ni mume wa mtu. Wanatumia msemo wa tutabanana hapahapa, wako akiwa kwako akitoka nje tunaye...
 
kuwa na mwanamke mmoja tu ni sawa na kuwa na nyimbo moja kwenye simu alafu ile nyimbo uwe unaisikiliza kila siku.hyo nyimbo lazima ikuboe tu..
ikianza kuboa unadownload nyingine..
ndivo sawa na mwanamke tu.

Hahahahaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa.....
Kwikwikwikwikwikwikwiiiiiiiiiii......
Teheteheteheteheteheeeee....
Uwiiiiiiiiii mbavu zangu umenifanya nicheke kwa sauti usiku huu mpaka nimeamsha watu.

Huu uzi nimeuteua Uzi wa mwezi, nitakuwa natumia kila mara nikishushwa moyo. Kiongozi unastahili tuzo kwa kuniongezea muda wa kuishi.
 
Uislam umeruhusu kuoa wake wengi kwa sharti.
1. Isizidi idadi ya wake wanne.
2.kufanya uadilifu baina yao.

"...BASI OENI MNAOWAPENDA KATIKA WANAWAKE (maadamu mtafanya uadilifu) WAWILI(2),AU WATATU(3),AU WANNE(4) TU.NA MKIOGOPA KUWA HAMUWEZI KUFANYA UADILIFU,BASI OENI MMOJA TU. ..." (4:3)

Faida za kuoa mke zaidi ya mmoja kwa upande wa mwanaume.

1.Inawezekana kabisa mkewe akawa hamtoshelezi haja yake ya kimaumbile,Hii husababishwa na uwezo mkubwa wa mume katika tendo la ndoa,na udhaifu wa mke.
Mume hataki kumuacha mke wake.
Sasa ataitosheleza wapi kiu yake?

Hapo ndipo Uislam ukamruhusu mume kuoa mke mwingine na yule wa mwanzo kubaki pale pale.

Lau kama Uislam usingemruhusu mtu huyu kuongeza mke mwingine ili kukidhi haja yake ni dhahiri kuwa mume angefanya moja kati ya mawili haya..

°Angemtaliki/angemuacha huyu aliyenaye, asiye kidhi haja yake na kuoa mwingine.
°Angekua na nymba ndogo (mwanamke wa pembeni/kimada) ili kukidhi haja yake.
NA HIKI NDICHO CHANZO CHA KUENEA KWA MAGONJWA YA ZINAA.

2.Kadhalika mwanamke anaweza kuwa tasa, hazai na mumewe anatamani kupata watoto,na ambalo hili la kupata watoto ni mojawapo ya malengo na madhumuni ya ndoa.na mumu anampenda mkewe kwa sababu moja au nyingine,na hataki kumuacha.

Sasa huyu mume afanyeje ili kuweza kupata watoto na kuendeleza kizazi cha binadamu?

Akazae nje ya ndoa?
Hapana! Hilo ni kosa,
Hapa ndio Uislam ukaziangalia haki za huyu mume kupata watoto,ukamruhusu kuoa mke mwingine,akajaribu bahati yake.
Huwenda mola wake akamruzuku watoto kwa mke huyu.

Haya ni baadhi ya maslahi ya mke zaidi ya mmoja kwa mwanaume.

FAIDA WANAZOPATA WANAWAKE KWENYE NDOA ZA MKE ZAIDI YA MMOJA.

1.Inawezekana mwanamke akapatwa na maradhi,akashindwa kabisa kuitekeleza haki ya unyumba kwa mumewe.
Maskini mke huyu mgonjwa, aende wapi,na hana uwezo wa kutekeleza haki ya ndoa?
na ilhali katika kipindi hiki kigumu cha ugonjwa ndio anahitaji zaidi huruma,mapenzi na liwazo la mumewe!

Mume amtaliki/amuache? La, hapana!
Sheria inambana mume kuwa katika mkataba wa ndoa alichukua ahadi ya kuishi naye kwenye shida na raha, uzima na ugonjwa.
basi amuuguze mkewe.na ili kukidhi haja yake ya kimaumbile, aoe mke mwingine.
Asichepuke.
Je,hapo mwanamke hajanufaika?

2.kadhalika kama binadamu wanavyotofautiana katika sura,tabia,akili nakadhalika.
Ni hivyo hivyo pia tunatofautiana katika uwezo/nguvu za kujamiiana.
Inawezekana kabisa uwezo wa mume ukawa ni mkubwa sana kuliko wa mkewe.uwezo wa mume ni kama tembo na uwezo wa mke ni kama kondoo.
Vipi,kondoo atahimili vishindo vya tembo?

Sasa ili mke huyu asiichukie ndoa yake,hatimaye kuikimbia,
Uislam ukamruhusu mume kuongeza mke mwingine.
Ili siku ya zamu ya mke mwingine,huyu asiyeweza kuhimili vishindo apate kupumzika.
Hebu tuwe wakweli,mwanamke huyu hajanufaika? Kanufaika?

Vile vile sheria hii ya mke zaidi ya mmoja ina maslahi makibwa kwa jamii.
Hakuna jamii isiyokuwa na wajane.ambao nao ni binadamu,wanahitaji kimaumbile nawao kujamiiana pia.
Vipi, wakazini? La,hapana,hilo ni kosa.

Pia kuna mayatima,ambao wanataka wapate uangalizi na malezi.

Hivyo basi, ni nani atawasitiri wajane waliofiwa na waume zao?
Nani atawaangalia na kuwalea hawa mayatima waliofiwa na baba zao?

Uislam ukampa RUHUSA mwanaume ambaye tayari ana mke,kuongeza mke mwingine.
Pengine atakaye muoa ni huyo mjane mwenye mayatima!

Je,mwanamke huyu hajasitirika?
Na wanawe hawajapata uangalizi na malezi?
Kwani huyu mume katika Uislam atakua na wajibu wa kumhudumia yeye na wanawe.

Hata waswahili wanasema,"ukipenda boga upende na ua lake"

Tuwe wakweli.
Je,hapa jamii imenufaika haikunufaika?

Pia ipo wazi,
Duniani idadi ya wanawake ni kubwa kuliko wanaume.na udadi ya wanyama jike ni kubwa kuliko wanyama dume(KAMA HUAMINI CHUNGUZA UTAGUNDUA).

Na kila binadamu ana haki ya kupenda/kupendwa katika jamii.
Anayo haja ya kimaumbile,ya kukidhi haja yake!

Je,wanaume wakioa mke mmoja tu, hawa wengine wakakidhi wapi haja zao?

Ndipo hapo wanapoanza kuvaa nusu uchi,ili waonekane.
Ndipo hapo wanapoanza kujiuza.
Ndipo hapo wanapogeuka michepuko( wezi wa waume za watu).
Ndipo magonjwa yanapoingia kwenye ndoa.
Ndipo mpango wa shetani wa kupunguza watu duniani kuelekea (new world order) unapoelekea kutimia.
UKIMWI TUSINGEUJUA!

Unastahili kupigiwa mizinga 21.
 
Kama wewe ni KE, unaweza kuchukua hii kama changamoto "wanawake wengi kwa nini wanashindwa kuwaridhisha wanaume zao?"

Wanawake wenyewe wanaolewa K zimeshatumika kama gari za masafa. Umeingia hujui umetoka hujui at least wakati wa uchumba kuna staili fulani akibana mguu utadhani mpya ngoja akuzoee ajiachie utaikimbia na hamu yote kwishaa.
 
  • Thanks
Reactions: SMU
hebu mtuache sie wanaume walau na sie tupumzike. nyie ni kero kubwa kwenye uhusiano na mara nyingi mmesababisha tutumike maeneo mengine ya uwekezaji! hata hivyo cku hizi nanyie mna tumiwa na watu kibao tu at the same time, so kila mtu ajue biznes yake hakuna kuulizana!!

Kwanza ukiuliza swali hapa wangapi wameolewa wakiwa Mabikra unaweza usipate mtu. Sasa kama mtu ameanza kabla ya ndoa mwanaume ladha ataitoa wapi. Unachukua lianajike mashine kama mlango wa uwanja wa Taifa nisichepuke mtoto wa watu kwani nina tezi dume!
 
nayule mbungewetu alitupiwa mtoto ofisi zabunge??

Yule mkuu wetu. Wa upinzani. Nakashfa ya dubaï tukaletewa cheti cha mtoto anapelekwa mwananyamala jinalilelie unahisi wanapenda hawa uliza humondani

unahisi. Mnyika nawengine awapendi kuwoowa

Cybercrime imenibana ila kuna mwingine mzito akitembea nchi inatikisika huyo kila mtoto na mama yake mbona hawamsemi?
 
Tushajaribu kuridhika ila malipo ya wanawake wengi ukiwa hivyo ni dharau tu,mwendo wa kuchukuliana poa mwanzo mwisho ctakusahau
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom