Atoto
JF-Expert Member
- Jul 19, 2013
- 86,410
- 169,862
Wameshakuja wanautetezi kuwa kosa sio lao, ni la wanawake.ngoja waje
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wameshakuja wanautetezi kuwa kosa sio lao, ni la wanawake.ngoja waje
Wavulana bwana!! And you think nyie hamboi wala kukinaisha!!! Ridhika na ulichonacho, si ulikichagua mwenyewe, au ulibambikizwa?Wanawake wanaboa na siku zote huwa wanakinaisha
Heloo...!
Kaka zangu naomba niwaulize hivi kwa nn wanaume wengi walio kwenye ndoa, au mahusuano na wenza wanakua hawaridhiki na kua na vimada nje?!
Tatizo ni nini...?!!hamtoshelezwi?tamaa,hulka au ndo asili ya wanaume kua na wanawake wengi?!
Kwa utafiti mdogo tu niliofanya kuanzia baba yangu,wajomba zangu,majirani zangu wenye wenza wao na wafanyakazi wenzangu wengi hao wanaume wana michepuko.
Wengine wake zao wazuri,kisura,kiumbo mpk tabia Ila vinamnyenya mpk anatafut kimada..
Ila ninyi wanaume mkihisi mmegongewa tu ni shida mnoo na hamna ht msamaha..
Ila ninyi mnafanya na mnasamehewa..
Kwa nn hamridhiki lakini na wake zenu...!!????
Mungu anawaona lakini na ss wadada tunawakubali tu hakuna namna usawa ushakaba huu!Japo ni waume za watu!
Au ndo ule msemo MWANAUME BILA NYUMBA NDOGO NI SAWA NA TAIFA LISILO NA UPINZANI..!!
Ila taifa lisilo na upinzani lawezekana tu si km Korea Kaskazini!
Ujinga kiwango cha lami.Tamaa na kujiendekeza.....
Ukiongezea kushauriana vibaya na kugezana
Kiufupi ni ujinga tu
Umeoa mkuu.. Hongera sana.Inawezekana kabisa mwanaume kuishi na mkewe bila ya kuwa na kimada/nyumba ndogo. Tatizo letu sisi wanaume ni kuendekeza tamaa. Mwanaume anayeendekeza tamaa za ngono, kila anapomuona mwanamke ambaye yeye anahisi ni mzuri, kitu cha kwanza kinachoingia kwenye akili zake ni "sex". Mbaya zaidi, kutokana na kumung'unyika kwa maadili siku hizi ambapo ninyi wadada mnatembea nusu uchi ndio kabisa mmefanya wanaume wenye tamaa kuharibikiwa zaidi. Mwili wa mwanaume yoyote yule rijali huwaka tamaa sana hasa pale anapoona sehemu za mwili za mwanamke ambazo hazikupaswa kuonekana, isipokuwa tu anapokuwa chumbani. Wanawake mnachangia kwa kiasi kikubwa sana kuwafanya wanaume washindwe kuzitawala tamaa zao. Na katika hili, mna kesi ya kujibu siku ile atakapokuja Mwana wa MUNGU, YESU KRISTO, sababu mnawatia wanaume majaribuni kwa aina ya mavazi mnayovaa.
Lakini kila mwanaume akiamua kujitawala na kuzuia tamaa zake anaweza kabisa kuyashinda majaribu haya, hata kama akimuona mwanamke yuko uchi kabisa. Kila aina ya tamaa huanzia kwenye ubongo. Ukiweza kuzitawala akili zako, basi utashinda kila kitu. Lakini ukiziachia akili zako zikutawale, ndio utasikia mtu anamlala hata mtoto wa miaka 2.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] tunavumilia tu kulinda heshima zetuWavulana bwana!! And you think nyie hamboi wala kukinaisha!!! Ridhika na ulichonacho, si ulikichagua mwenyewe, au ulibambikizwa?
[emoji134] [emoji134] [emoji134] [emoji134] [emoji134] [emoji134]Sijatoka kwenye ndoa yangu, ila mwenendo unavyooenda wa kuomba na kubembeleza sex now and then I can't predict the future!
unamwaga points my colejii!Ila mwanaume hana shida?
Kati ya huyo hawara na huyo mwanaume nani ana commitment na mwenzie!! Ni nani aliapa till death do us apart,na kutokusaliti?
Usiwatetee, maana hapo wote wana makosa ila huyo alieacha ndoa kwenda kusaliti ni bomu.
Kumbuka kuna wengine huficha kabisa kama wameoa/kuolewa, unakuja gundua too late.
mmmhhh!jamaniNapambana hili pepo litoke.
Yaani tena wafyatage midomo, wanawake kutokuongea haimaanishi wanaridhika kila kitu na waume zao.[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] tunavumilia tu kulinda heshima zetu
tena janaume lingine linakinaisha Ila ufanyeje tena!
Kwahiyo kila dhambi iliyotendwa na huyo baba wa imani ilihalalishwa eti? Cant you understand the moral behind that scenario? Mwisho wake ilikuwaje?Au ndio ile huwa tunachagua kuelewa kile kinachotufurahisha.haiwezekani kama baba wa imani ibrahimu mwenyewe alikuwa anachepuka sembuse mimi shalet hell no.
Sana tu Ila hawajielewegi tu..tunanyamaza kulinda heshima zetu na zao!Yaani tena wafyatage midomo, wanawake kutokuongea haimaanishi wanaridhika kila kitu na waume zao.
huo ndo udhaifu wa wanaume wanataka yale yanayowafever wao ndo tuyape umuhimu na kuyatetea!Kwahiyo kila dhambi iliyotendwa na huyo baba wa imani ilihalalishwa eti? Cant you understand the moral behind that scenario? Mwisho wake ilikuwaje?Au ndio ile huwa tunachagua kuelewa kile kinachotufurahisha.
Wamewashikia mabango wanawake as if wao ni malaika,hakuna alokamilika ndio mana tumeruhusiwa kufanya uchaguzi, chagua beba size yako, yule unayeona huyu tunatoshana na haya yake nitaweza kuyabeba. Wakitaka mkamilifu waumbe wa kwao.Sana tu Ila hawajielewegi tu..tunanyamaza kulinda heshima zetu na zao!
Tutawapanga kama munavyotupanga ivi inauma kumbeeee?kwangu michepuko kama kawa mwanzo mwishokaah...ndo mtupange km nyanya!
Wamewashikia mabango wanawake as if wao ni malaika,hakuna alokamilika ndio mana tumeruhusiwa kufanya uchaguzi, chagua beba size yako, yule unayeona huyu tunatoshana na haya yake nitaweza kuyabeba. Wakitaka mkamilifu waumbe wa kwao.