Kwanini wanaume huwa na michepuko?

Wanawake wanaboa na siku zote huwa wanakinaisha
Wavulana bwana!! And you think nyie hamboi wala kukinaisha!!! Ridhika na ulichonacho, si ulikichagua mwenyewe, au ulibambikizwa?
 
Sijatoka kwenye ndoa yangu, ila mwenendo unavyooenda wa kuomba na kubembeleza sex now and then I can't predict the future!

Umeoa mkuu.. Hongera sana.
 
Wavulana bwana!! And you think nyie hamboi wala kukinaisha!!! Ridhika na ulichonacho, si ulikichagua mwenyewe, au ulibambikizwa?
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] tunavumilia tu kulinda heshima zetu

tena janaume lingine linakinaisha Ila ufanyeje tena!
 
haiwezekani kama baba wa imani ibrahimu mwenyewe alikuwa anachepuka sembuse mimi shalet hell no.
 
Sijatoka kwenye ndoa yangu, ila mwenendo unavyooenda wa kuomba na kubembeleza sex now and then I can't predict the future!
[emoji134] [emoji134] [emoji134] [emoji134] [emoji134] [emoji134]
 
unamwaga points my colejii!
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] tunavumilia tu kulinda heshima zetu

tena janaume lingine linakinaisha Ila ufanyeje tena!
Yaani tena wafyatage midomo, wanawake kutokuongea haimaanishi wanaridhika kila kitu na waume zao.
 
haiwezekani kama baba wa imani ibrahimu mwenyewe alikuwa anachepuka sembuse mimi shalet hell no.
Kwahiyo kila dhambi iliyotendwa na huyo baba wa imani ilihalalishwa eti? Cant you understand the moral behind that scenario? Mwisho wake ilikuwaje?Au ndio ile huwa tunachagua kuelewa kile kinachotufurahisha.
 
huo ndo udhaifu wa wanaume wanataka yale yanayowafever wao ndo tuyape umuhimu na kuyatetea!
 
Sana tu Ila hawajielewegi tu..tunanyamaza kulinda heshima zetu na zao!
Wamewashikia mabango wanawake as if wao ni malaika,hakuna alokamilika ndio mana tumeruhusiwa kufanya uchaguzi, chagua beba size yako, yule unayeona huyu tunatoshana na haya yake nitaweza kuyabeba. Wakitaka mkamilifu waumbe wa kwao.
 
Tena wao ndo mapungufu yao yapo mengi sana Ila sisi tunakufa nayo

Hawa wanaume wa siku hizi mtihani mtupu wanataka wao wakamilike!
Mwanamke ukikosea kidogo hufai
Wamewashikia mabango wanawake as if wao ni malaika,hakuna alokamilika ndio mana tumeruhusiwa kufanya uchaguzi, chagua beba size yako, yule unayeona huyu tunatoshana na haya yake nitaweza kuyabeba. Wakitaka mkamilifu waumbe wa kwao.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…