Hahaa imagineAcha ubinafsi wewe! Wenzako wamekosa bahati ya kuolewa kama wewe sasa unataka hata mgegedo wasipate?
Nakusalimia na wewe kama utatakaNilikuwa nimekumiss mpaka joto la mwili linapanda dear C'ssy..!!
Mie Alhamdulillah Kaka ake niko salama.Nakusalimu kama una nafasi
Sijazoea kusalimiwa kibabe, be a gentleman ndiyo tuongee.!Nakusalimia na wewe kama utataka
Alhamdulillah siku nyingi kwa kweli.Mie Alhamdulillah Kaka ake niko salama.
Nakuja hahaahSijazoea kusalimiwa kibabe, be a gentleman ndiyo tuongee.!
Mi nipo na nimekumiss zaidi my lovely mdogo japo wajua tena baadhi ya siku mambo zinakuwa mingi mbaya hivyo inabidi kupambana nazo kwanza.Nilikuwa nimekumiss mpaka joto la mwili linapanda dear C'ssy..!!
Hahahahaaaa. Lol.Alhamdulillah siku nyingi kwa kweli.
I hope ramadhan imekwisha salama na sasa umeanza kulipa tayar ππππ
Uwe na asubuhi njema hahahaahaHahahahaaaa. Lol.
Absolutely sweet C'ssy,Mi nipo na nimekumiss zaidi my lovely mdogo japo wajua tena baadhi ya siku mambo zinakuwa mingi mbaya hivyo inabidi kupambana nazo kwanza.
Hahahaaa. Na kwako pia Bro.Uwe na asubuhi njema hahahaaha
Kweli kabisa Mdogo wa mie. πππAbsolutely sweet C'ssy,
Tupambane mpaka tone la mwisho.!!
Have a Blessed New Month C'ssy..!!Kweli kabisa Mdogo wa mie. πππ
Mnajisifu tu hakuna loloteMwanaume anapenda vipande vipande ndio sababu yaani hapendi jumla akipita mbuzi sawa farasi panya yaani ndio maumbile yetu yalivyo
Basi usioe Mungu ameshafanya research akaja kujua kuwa mwanaume na mwanamke wanaridhika wakiwa mwili mmoja semeni nitamaa tuUkizaliwa mwanaume wewe unakuwa ni taasisi. Hamna taasisi yenye MTENDAKAZI mmoja.
Hiki nikisingizio bhanaUkiona Bwana anachepuka, jiulize umekosea wapi? Ukibweteka, lazima utasaidiwa na wengine huko nje hakuna namna