Kwanini wanaume huwa na michepuko?

Kwanini wanaume huwa na michepuko?

Hii topic tata sana. Ilarejea maneno ya RC wa Kilimanjaro, mwanaume anachokipenda hakipo kwa mwanamke mmoja.

Mwisho wa siku ni maamuzi tu. Inafika wakati unagundua mambo yote kujilisha upepo tu, ubatili mtupu.
Msioe hujui inavyouma ukisalitiwa inauma sana tena inauma pale unapojua huyu ni msalitii.
Inauma,sana
 
Unakuta qife ni ksu ila wewe kutwa kulana na wadada njee.
Unakuta mke anakuhudumia ila kutwa kwa wengine.
Mpewe nini nyie mridhike kuwa mpo kwenye ndoa takatifu ?
Kwanini mnakwaza wake zenu wanaobeba mimba miezi 9 wanwazalia watoto kwa uchungu nini shida??
Semeni hili nijukwa huru.
ujue kuna kitu sio lazima ukijue
 
Mbona uko emotinal sana, Umefumania nini wewe kama una heshimiwa na kupewa mahitaji yako tulia tu na rea watoto, Sisi gemu za nje kuacha ni impossible hata uweke miss Dunia ndani, show za nje lazima
Yani mfano nisafiri kikazi wiki mbili nifike huko nilale guest wiki zote mbili bila mtu, Sasa hio haina maana kabisa
 
Wanawake tunakoseaga kujifanya kuridhisha wanaume huku tunateseka bure, ni ngumu kumridhisha binadamu eti atulie never on earth, Bora kutafta furaha yako na yeye kuwa extra maisha ni haya haya, huku wanawake wengi hawaridhishwi na tendo wanaume wengi kutwa kuchepuka wanawake wametulia hawachepuki watolewe hamu vizuri na wanaojua show, wanalia kwa manabii, sijui mashekhe na waganga mwishowe wanaliwa tunda kimasihara tu nothing kilichobadilika, mwanaume akikuharribu uwe bwawa anaenda tafta mnato wewe wajiliza Liza huku hakuridhishi, shauri yenu nyie endelea kujipendekeza kufuraisha watu wazima msipo kufa siku si zenu, ukifata hii jamii eti mwanaume ni haki yake kuchepuka huku hakufikishi na ana kibamia na hapo before marriage wanawake majority hu date even more than 100 huku ndoani eti mvumilie?

Ni ngumu kumridhisha mtu mzima kwani wewe Mungu, maana huwezi kuwa perfect 100%
 
Wanawake mnakera mkishaingia ndoani mnatelekeza yale yote mliuokua mnafanya hapo awali.pili ikumbukwe kua mwaunaume ameumbiwa majike ili ayamiliki na kuyazalisha ndio maana bao moja la mbegu za mwanaume lina milions of kurutubisha wanawake mob wakati yai la kurutubishwa la mwanamke ni moja at once.kuchepuka kwetu sisi wanaume kunaimarisha pia mahusiano ya ndoa na familia kwa ujumla wake kwa maana ukirudi home unakua na adabu na kukaa kwa adabu baada ya kuuza mechi.tatu washukuriwe sana wadada wa kazi kwa maana ni sub nzuri na wanatutoa stress.ambaye hajawai kula dada wa kazi anyooshe kidole juu nimpe zawadi..
 
Jibu La Hii Thread Analo Mtu Mmoja Tu
Mheshimiwa Mkuu Wa Mkoa Kilimanjaro
Anne Mghwira.😀😁
 
Back
Top Bottom