Kwanini wanaume huwa na michepuko?

Kwanini wanaume huwa na michepuko?

Muondelee kutuombea tuu mama angu.actually hakuna lolote la maana tuu huko nje zaidi zaidi kupoteza hela tuu.

Ila pia na nyie jaribuni kuheshim hisia za waume zenu kuna ile tabia ya kumchukulia mume poa kiasi hata radha ya mke inapotea.

Jaribu kurudisha yale mapenzi ya wakati wa uchumba.wanaume wengi ukiwaboa kitu huwa hawako wazi kukwambia wanakuacha usije ukakwazika.wanatafuta plan B ya kusolve hiyo kero.halafu wewe wanakuacha salama ili ndani pawe na amani uendelee kulea familia.So the botom line tunahitaji kujuana vizuri.inaweza kupunguza hii tabia.Ujue hata wengiwetu kuchepuka hatupendi kabisa ila kuna presure ambayo sometimes inasababishwa na mahusiano ya ndani.usipokiwa makini kuidhibiti inakushinda nguvu.Fuatilia mafundisho ya Dr.Mitimingi yatakusaidia.Yule jamaa alijaribu kuelezea tabia za wanaume kwa ufasaha. Achana na Dr. Mauki.
 
Ndio maana sheria zikaweka talaka. Kakushinda rudi ulipotoka, maswali mengine kila mtu ana jibu lake.
 
1. Kuna baadhi ya wanawake wanatumia tendo la ndoa kama adhabu ya kuwarekebisha waume zao hili ni kosa kubwa sana, linaweza likawa linachochea zaidi.

2. Wanaume wengi hawapendi makelele ndani ya nyumba. Wanawake ambao hawawapatii waume zao good and peace home, inaweza kusababisha mume kuishi mazingira hatarishi zaidi

3. Wengine wataongezea!
 
Walio olewa wengi wana wapiga vibuti sana waume zao wakihitaji huduma.. tena omba Mungu usiwe na mke anaye jipotoa, hutakiwa kugusa chochote.. kwao sex ni kama usumbufu.
 
Hakuna tunachokosa, saa ingine tunachepuka na wadada ambao wamezidiwa Uzuri Mara 10 na wake zetu!

Kikubwa ni kuwa Wanaume tukichepuka haimaanishi kuwa Tunawapenda tunaochepuka nao, mara nyingi hatuna hata sababu.
 
Mama sijui kama utapata majibu yakinifu
Ila try to make 'YOU' happy..you first
Cause he is busy making himself happy
 
Hakuna tunachokosa, saa ingine tunachepuka na wadada ambao wamezidiwa Uzuri Mara 10 na wake zetu!

Kikubwa ni kuwa Wanaume tukichepuka haimaanishi kuwa Tunawapenda tunaochepuka nao, mara nyingi hatuna hata sababu.
Ndio na sisi tukitafta watu tofauti mtulie
 
Shida wanawake mkishaolewa wengi wenu,mnapunguza utii na heshima
kwa waume zenu.
Mnajisahau kwa upande wa mavazi&mvuto,wanaume tunavutiwa
na muonekano.
Unamkuta mwanamke yuko rough muda mwingi,ilihali hakuna sababu ya kumfanya awe hivyo.
Pia,punguzeni ustaarabu muwapo
katika tendo la ndoa,jitumeni
kama ilivyokuwa before marriage.
NB;
Wanaume tujifunze uvumilivu na
tuache tamaa.
 
Mimi mwenyewe sijawahi kujua nataka nini kwa mwanamke, nikipata mfupi najiona Kuna kitu namiss natafuta mrefu, nikipata mrefu nataka mwenye tako, nikipata mwenye tako nataka mweupe, yaani ni shida tupu na ni nadra sana kupata sifa zote unazotaka kwa mwanamke mmoja
Na bado utahangaika sana kama hujajua unachokikosa hata tukujazie magunia ya wanawake huwezi tulia.Jitafiti unatafuta nini, unataka nini kwa mwanamke? Kama ni just ngono mbona hutosheki? Ni nini hicho??
Ukiweza kusolve puzzle you are done with utumwa wa ngono.
 
Basi usioe mpaka utambue mwanamke ni yule yule tatizo ni moja tu maumbile kwa hiyo ridhika na mmoja.
 
Na bado utahangaika sana kama hujajua unachokikosa hata tukujazie magunia ya wanawake huwezi tulia.Jitafiti unatafuta nini, unataka nini kwa mwanamke? Kama ni just ngono mbona hutosheki? Ni nini hicho??
Ukiweza kusolve puzzle you are done with utumwa wa ngono.
Mwachee dunia hadaa walimwengu shujaa.
 
Back
Top Bottom