The Hyper
JF-Expert Member
- Feb 20, 2012
- 1,788
- 1,101
Humu hatupigani unaelezwa ukweli halafu hutaki.
Unataka usifiwe na hujitambue nope
Usiwe mvivu kusoma,nimekuambia
soma aya ya tatu katika bandiko
langu la mwanzo.
Au naongea na mtoto??Kwa kukusaidia nimesema hivi;
"Unamkuta mwanawake yuko rough muda mwingi,ilihali hakuna sababu inayomfanya awe hivyo"
So jibu la hoja yako liko hapa,nashangaa kwa nini umekuwa mkali kwa kauli hii.
Au nawe uko rough??