Kwanini wanaume huwa na michepuko?

Kwanini wanaume huwa na michepuko?

Unakuta wife ni kisu ila wewe kutwa kulana na wadada nje. Unakuta mke anakuhudumia ila kutwa kwa wengine.

Mpewe nini nyie mridhike kuwa mpo kwenye ndoa takatifu? Kwanini mnakwaza wake zenu wanaobeba mimba miezi 9 wanawazalia watoto kwa uchungu? Nini shida?

Semeni, hili ni jukwaa huru.
Mawife mkishazaa mnahamishia upendo kwa watoto.. Sasa swala la ukisu sio issue maana huwa mnavijitabia fulani pia.

Hata hivyo usitufatilie sana hata sisi sababu hatujui tunatenda tu kazi yake yeye..😂
 
Naungana na wote waliochangia kua wengi wetu haturidhiki kwa mwanamke mmoja wakati wote.

Mimi ni mhanga wa hilo maana niko kwenye ndoa kwa mwaka wa 4 sasa. Ingawa sijawahi kuchepuka na sitarajii ila majaribio yaliofeli ni mengi.
 
Mawife mkishazaa mnahamishia upendo kwa watoto.. Sasa swala la ukisu sio issue maana huwa mnavijitabia fulani pia.

Hata hivyo usitufatilie sana hata sisi sababu hatujui tunatenda tu kazi yake yeye..😂
Kwanini usichukue jukumu la kumsaidia kazi mkeo naye apumzike??
 
Unakuta wife ni kisu ila wewe kutwa kulana na wadada nje. Unakuta mke anakuhudumia ila kutwa kwa wengine.

Mpewe nini nyie mridhike kuwa mpo kwenye ndoa takatifu? Kwanini mnakwaza wake zenu wanaobeba mimba miezi 9 wanawazalia watoto kwa uchungu? Nini shida?

Semeni, hili ni jukwaa huru.
Kama mwanaume aliyekuoa alikuwa kicheche atapitia mapito ya zamani
 
Ni tamaa tu,japo kuna stage itafika kama mwanaume unagundua kwamba mwanamke mmoja anatosha sana!
 
Ni kweli, mfano mimi siwezi kumpa wife ambae nimezaa nae mic aimbe ila mchepuko utashika mic na kuimba kila tukikutana.
Watakuwa wameelewa, mke ni wa kuheshimiwa, ila mchepuko unaufanyisha kazi unavyotaka wewe, utapigwa staili zote, kila aina ya mapenzi utafanyishwa lakini mke huwezi unambakizia nguvu za kuweza kuhudumia watoto siku ya pili. Ndio maana michepuko mingi mchana inalala
 
Kwani hao wa huko nje hawatuzalii watoto kwa uchungu na kubeba mimba miezi 9? Unafikiri wanabeba mimba miezi 2 tu na uchungu hawapati?
Siku mkikubali tuoe zaidi ya mmoja ndio mtapata jibu la hili swali lenu, kinyume chake msubirieni Yesu akirudi atajibu swali lenu.
 
Unakuta wife ni kisu ila wewe kutwa kulana na wadada nje. Unakuta mke anakuhudumia ila kutwa kwa wengine.

Mpewe nini nyie mridhike kuwa mpo kwenye ndoa takatifu? Kwanini mnakwaza wake zenu wanaobeba mimba miezi 9 wanawazalia watoto kwa uchungu? Nini shida?

Semeni, hili ni jukwaa huru.
Kabla ya ndoa mapenzi kutoka kwenu ni hatari. Hata asali au sukari hazioni ndani. Ikija ndoa na watoto ndiyo vituko vinaanza. Hakuna kukatika wala yale mabusu. Wengine wanajiachia wawa kama Bomu limelipuka miilini mwao. Hakuna kuvaa sexy wala ule usafi kama zamani. Dharau kufoka na kutokuwa na heshima kunazidi. Yawa shida. Wategemea mwanaume atafanya nini?!
 
Back
Top Bottom