Kwanini wanaume huwa na michepuko?

Kwanini wanaume huwa na michepuko?

Kama mnataka turidhike
Naomba tupewe hiyo "NINI"
 
Unakuta wife ni kisu ila wewe kutwa kulana na wadada nje. Unakuta mke anakuhudumia ila kutwa kwa wengine.

Mpewe nini nyie mridhike kuwa mpo kwenye ndoa takatifu? Kwanini mnakwaza wake zenu wanaobeba mimba miezi 9 wanawazalia watoto kwa uchungu? Nini shida?

Semeni, hili ni jukwaa huru.
Mpaka tupewe wanawake wengi ndo tutaridhika.

Hata uwe kisu vipi mumeo atatamani tu kuwa na wake wengine wazuri zaidi yako.
 
Utamwita kwa upole umuulize wife nini?
Sema nikufanyie nini ili unipendeee?
Uwe kama zamani huoni matajiri wake zao haachi kupendeza 1 wanawafanyakazi wakila kitu mpaka,watoto ila kwa wewe weka house girl kama wawilu mmoja mtoto mmoja kazi za ndani uone kama hatorudi kama zamani.
 
Unakuta wife ni kisu ila wewe kutwa kulana na wadada nje. Unakuta mke anakuhudumia ila kutwa kwa wengine.

Mpewe nini nyie mridhike kuwa mpo kwenye ndoa takatifu? Kwanini mnakwaza wake zenu wanaobeba mimba miezi 9 wanawazalia watoto kwa uchungu? Nini shida?

Semeni, hili ni jukwaa huru.
Dume tu la mbuzi majike kumi, jogoo majike kumi unataka uwe pke yako we Nani?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
N muhimu kuwa alternative kwa kila jambo..maana kuna leo na kesho!
 
Wewe katoto kazuri, nataka nikuhakikishie kwamba zile hazifanani kabisaaaa! na kwamba uzuri wa umbo na sura ya mwanamke unaweza kuwa inversely proportional kwa naniliuuu... Hili ndo hutufanya tusiishe kuonja !
 
Naaam.....

Sisi wanaume huwa tuna udhaifu. Haata manabii walikuwa hawana mke mmoja.

Mvumilie tuu wadada
Wewee mimi mume wangu hajanionyeshelea kuwa anao nasishiki cmu yake hii ni mada tu kama hujui.
 
Dume tu la mbuzi majike kumi, jogoo majike kumi unataka uwe pke yako we Nani?

Sent using Jamii Forums mobile app
Kwahiyo wanaume akili zao zipo kama dume la mbuzi , jogoo ? Acha hizo binadamu Mungu kamuumba na akili, utashi pia ndiyo maana hayo mambo hufanywa sirini, ndiyo maana tuliambiwa tutawale wanyama, samaki na ndege
 
Unakuta wife ni kisu ila wewe kutwa kulana na wadada nje. Unakuta mke anakuhudumia ila kutwa kwa wengine.

Mpewe nini nyie mridhike kuwa mpo kwenye ndoa takatifu? Kwanini mnakwaza wake zenu wanaobeba mimba miezi 9 wanawazalia watoto kwa uchungu? Nini shida?

Semeni, hili ni jukwaa huru.
Unaweza kuta demu mkali ila mashine mbovu au ananuka K
 
Back
Top Bottom