Kwanini wanaume huwa na michepuko?

Kwanini wanaume huwa na michepuko?

Hivi wanaume mnajua watoto tokea mimba mpaka ampate mpaka akue ni mchezo nani amewahi experience shida kama sio wanawake unamnyonyesha mtoto anakunyonya kama mbwa .
Halafu umuogeshe umpe services zote .
Bado ukija akupikie ule akupe attention kweli yote?
haya mbona ni majukumu yako sister
sasa kwenye suala la mimba ulitaka wanaume nao tubebe au
ulitaka ukizaa usinyoyeshe? hapa wakumlalamikia ni muumba maana ndo aliamua iwe hivyo
ivi lakini unajua mateso tunayopataga na sisi wakati tunahangaika kusimamia ukucha 😛😛😛
 
Usijitetee sana shukuru kwa mtu akilelea mbegu yako na kukuzalia na kukutunzia ila nyie mlioni hilo kutwa kulaumu ,kudharau na hamna shukrani .
Ndio maana nalaumu
 
Wanawake wengi hususani wa kileo hawana misingi ya namna ya kuishi na mwanaume ndiyo maana ya maana.
 
Usijitetee sana shukuru kwa mtu akilelea mbegu yako na kukuzalia na kukutunzia ila nyie mlioni hilo kutwa kulaumu ,kudharau na hamna shukrani .
Ndio maana nalaumu
kulelea mbegu wewe unaona ni kama mnatufanyia msaada sio?
nyie amhitaji watoto sio?
 
hapana cha msingi ni kujiwekea limit na kumthamini ulie nae ila mahitaji ya mwanaume si mwanamke mmoja. tunjitahid kupambana tusiwakwaze wake zetu. ndio maana tukaruhusiwa kuoa wa 4 japo na bado haikidhi vile vile macho yatakutoka tuu..kikubwa ni kukandamiza nafsi
Kuwa na mwanamke mmoja ni ndoto ila kuwa na mmoja basi wa kubadilisha mboga sio kila mtu ni wako.
 
Ndio tunawafanyia msaada wangapi maishani wametoa watoto wenu??
Wangapi??
ilo la kutoa sasa ni jambo lingine
nyie mkishafikisha 25 and above mnaanza kushika wanaume mashati ili muolewe mpate watoto
leo hii unasema mnatoaga msaada acha hizo bhana wezako wakikusikia
 
Ndo maana kukawa na ladha tofaut tofaut...

Kuna....
Strawberry
Vanilla
Chocolate

Ndivyo ilivyo...
 
ilo la kutoa sasa ni jambo lingine
nyie mkishafikisha 25 and above mnaanza kushika wanaume mashati ili muolewe mpate watoto
leo hii unasema mnatoaga msaada acha hizo bhana wezako wakikusikia
Wameshanisikia kabisa sema hawana usemi kisa mmewavuruga wala hawataki mazoea nanyie
 
Back
Top Bottom