Kwanini wanaume huwa na michepuko?

Tatizo kubwa wanawake wengi hawajuhi nn wanaume wanataka toka Kwao
 
Nyie mnabeba Mimba miezi 9.....je sisi tunaobeba Pumbu Miaka nenflda Rudi....na tuko kimya
 
Sasa nini ushauri wako....sasa Ashakuwa bwawa....ungekuwa wewe ungebaki?....Goal likifungwa Lazima Ushangilie Kwenye kibendera
 
Me too
 
Mwanamke mmoja awezi kuwa na Package iliyokamilika
 
Hii si unaanza ukiwa mkubwa....Sisi Pumbu tumezaliwa Nazo na zinaning'inia na tutakufa Nazo....ushaona siku tunalalamika?
 
Kwani wanawake kwann hamlindani. Mtu anakupa tu hajali una mke na watoto yaani anakutengenezea mazingira ilimradi umle tu.
 
Mtu kaoa juzi tu hata wiki mbili hazijaisha,Anatongoza na kutoa ahadi kedekede,

Lakini ukweli ni kwamba yupo kwenye ndoa,

Mie najiuliza tatizo ni nini hasa kwa hawa kaka zetu?

Kutulia na mke mmoja hamuwezi?

BADILIKA TAFADHALI.
Ni raha kwa mwili
 
Hahaha
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…