Wewe umejuaje au wewe ndie ulietongozwa? fanya yako, yangoswe muachie ngosweMtu kaoa juzi tu hata wiki mbili hazijaisha,Anatongoza na kutoa ahadi kedekede,
Lakini ukweli ni kwamba yupo kwenye ndoa,
Mie najiuliza tatizo ni nini hasa kwa hawa kaka zetu?
Kutulia na mke mmoja hamuwezi?
BADILIKA TAFADHALI.
huo ndio mtazamo wako. Na spendi kulumbana na ww kwa ujinga...... Ok! Mda utafika ntakuweka tu kwenye barrow ndipo utajasimlia...... Najua utajifunza kutowaropokea hovyo usiowajua.....
Tena wengi saana..wanaune wajanja wote hawafanyi u.puuz kama huo..licha ya kujua madhara yake but pia wameshiza uhuni wote hakna knachowazuzua..wanaoa wakijua wanaacha nini na wanafata nini...sio hao malimbukeni wakiona k imekatsha tuu vidudu vnawaruka ruka .ushamba tuu
Kujipa moyo hupunguza matatizo ya presha. Sijui nani aliwadanganya jasiri huacha asili.
Hapo twaenda sawa,
Lakini ungejaribu kutoa ushauri kidogo hasa kwa sie vijana ambao tunajiaanda kuingia kwenye hicho chama,
Ulivo egemea upande mmoja wengine wanashabikia tu.
Lakini Sio Jambo Jema kabisa
Kama wewe unavyojipa moyo kuwa wanaume wote/wengi ni Malaya..
Hauna uthibitisho wowote kuwa hyo ndio fact.toa kama upoHuko sio kujipa moyo bali ni kusema ukweli unaouma.
Kumbe kwenye chama bado hujaingia? Mwanangu kua uyaone. Wanaume mwalimu wetu mmoja. Tumetofautiana staha tu lakini matendo ni yaleyale. Asikudanganye mtu.
Hilo nalitambua manake waume za watu wanaonifata hawana idadi,
Mie naogopa sana kuigia kwenye hicho chama maana kuvumilia usaliti sitoweza.
Hauna uthibitisho wowote kuwa hyo ndio fact.toa kama upo
kaka samahaniUsisahau mimi ni mwanaume. Na mambo yetu tunayajua wenyewe. Hata wife wangu anaweza kukuapia hapa duniani hakuna mwanaume mwaminifu kama mimi mme wake mpenzi. Laiti tu angejua..... baaas.
Usisahau mimi ni mwanaume. Na mambo yetu tunayajua wenyewe. Hata wife wangu anaweza kukuapia hapa duniani hakuna mwanaume mwaminifu kama mimi mme wake mpenzi. Laiti tu angejua..... baaas.
kaka samahani
Nilikuona wapi vile?
Hakuna pa kukimbilia kwa kweli.