Kwanini wanaume huwa na michepuko?

Kwanini wanaume huwa na michepuko?

Mtu kaoa juzi tu hata wiki mbili hazijaisha,Anatongoza na kutoa ahadi kedekede,

Lakini ukweli ni kwamba yupo kwenye ndoa,

Mie najiuliza tatizo ni nini hasa kwa hawa kaka zetu?

Kutulia na mke mmoja hamuwezi?

BADILIKA TAFADHALI.
Wewe umejuaje au wewe ndie ulietongozwa? fanya yako, yangoswe muachie ngoswe
 
Wewe umejuaje au wewe ndie ulietongozwa? fanya yako, yangoswe muachie ngoswe

Nifanye yangu yepi mkuu,
Kwani mie mwendawazimu niropoke vitu nisivyovijua?

Mbona huu uzi umekukera sana,Samahani kama umekugusa,
 
huo ndio mtazamo wako. Na spendi kulumbana na ww kwa ujinga...... Ok! Mda utafika ntakuweka tu kwenye barrow ndipo utajasimlia...... Najua utajifunza kutowaropokea hovyo usiowajua.....

Wala sipo hapa kulumbana..natoa mtazamo Wangu pia..and that's how I perceive wanaume wwnye mitazamo kama yako.anyway kama haukuwa tiari kupokea mitazamo kama yangu wewe unge conduct/Ku present hyo research yako bila uhitaji Wa kumu offend au kupotosha watu hapa.
 
Tena wengi saana..wanaune wajanja wote hawafanyi u.puuz kama huo..licha ya kujua madhara yake but pia wameshiza uhuni wote hakna knachowazuzua..wanaoa wakijua wanaacha nini na wanafata nini...sio hao malimbukeni wakiona k imekatsha tuu vidudu vnawaruka ruka .ushamba tuu

Kujipa moyo hupunguza matatizo ya presha. Sijui nani aliwadanganya jasiri huacha asili.
 
Hapo twaenda sawa,
Lakini ungejaribu kutoa ushauri kidogo hasa kwa sie vijana ambao tunajiaanda kuingia kwenye hicho chama,
Ulivo egemea upande mmoja wengine wanashabikia tu.
Lakini Sio Jambo Jema kabisa

Kumbe kwenye chama bado hujaingia? Mwanangu kua uyaone. Wanaume mwalimu wetu mmoja. Tumetofautiana staha tu lakini matendo ni yaleyale. Asikudanganye mtu.
 
Kumbe kwenye chama bado hujaingia? Mwanangu kua uyaone. Wanaume mwalimu wetu mmoja. Tumetofautiana staha tu lakini matendo ni yaleyale. Asikudanganye mtu.

Hilo nalitambua manake waume za watu wanaonifata hawana idadi,
Mie naogopa sana kuigia kwenye hicho chama maana kuvumilia usaliti sitoweza.
 
Hilo nalitambua manake waume za watu wanaonifata hawana idadi,
Mie naogopa sana kuigia kwenye hicho chama maana kuvumilia usaliti sitoweza.

Ewaaa. Na ujue pia hata huyo uliye naye nje ya chama hauko peke yako kiviiiile...
 
Hauna uthibitisho wowote kuwa hyo ndio fact.toa kama upo

Usisahau mimi ni mwanaume. Na mambo yetu tunayajua wenyewe. Hata wife wangu anaweza kukuapia hapa duniani hakuna mwanaume mwaminifu kama mimi mme wake mpenzi. Laiti tu angejua..... baaas.
 
Usisahau mimi ni mwanaume. Na mambo yetu tunayajua wenyewe. Hata wife wangu anaweza kukuapia hapa duniani hakuna mwanaume mwaminifu kama mimi mme wake mpenzi. Laiti tu angejua..... baaas.
kaka samahani
Nilikuona wapi vile?
 
Usisahau mimi ni mwanaume. Na mambo yetu tunayajua wenyewe. Hata wife wangu anaweza kukuapia hapa duniani hakuna mwanaume mwaminifu kama mimi mme wake mpenzi. Laiti tu angejua..... baaas.

unatumia sample yako na mkeo kugeneralise theory Kwa wana ndoa wote?..wapo wanaume mashga pia,wanaolawiti watoto zao,wabakaji..eeh waje nao basi waseme ni asili ya wanaume na sote tukubaliane hvyo!?yeah ndio wanavyosema ..ni asili..wewe ni mwanaume lakini sio Mungu..ingekuwa hvyo angesema mwanamke usizini..mwanaume ruksa!!..la hasha ..hajasema hvyo..imeandikwa usizini.
 
Kibo kya ndesi!
Mnadiskasheni nn?.
@aspirin samare with relevant sketch maps and diagrams please!
 
Njia kuu foleni mpaka taa ya kijani iwake sometimes traffic kiburi ukimpigia honi ndo ananuna kweli.
Mchepuko aaaahhh bora tu mafuta yawepo
 
Maisha ni safari.... ya kwenda wapi?.. "kaburini"..so baki njia kuu kunayo jam uchelewe kufika ama jipatie mchepuko wako ufike chap chap..
NB: wote tutafika lakini.
 
Kujiendekeza wala hamna lingine, nilishuhudia jamaa akienda hoteli na mdada mmoja hivi, ilikuwa usiku wa kuamkia ndoa yake, nilimuuliza akaishia kusema ilikuwa mechi ya kupeana hongera...kweli tunaishia kuwa kama kuku..
 
Back
Top Bottom