Kwanini wanaume huwa na michepuko?

Kwanini wanaume huwa na michepuko?

Heloo...!

Kaka zangu naomba niwaulize hivi kwa nn wanaume wengi walio kwenye ndoa, au mahusuano na wenza wanakua hawaridhiki na kua na vimada nje?!

Tatizo ni nini...?!!hamtoshelezwi?tamaa,hulka au ndo asili ya wanaume kua na wanawake wengi?!

Kwa utafiti mdogo tu niliofanya kuanzia baba yangu,wajomba zangu,majirani zangu wenye wenza wao na wafanyakazi wenzangu wengi hao wanaume wana michepuko.

Wengine wake zao wazuri,kisura,kiumbo mpk tabia Ila vinamnyenya mpk anatafut kimada..

Ila ninyi wanaume mkihisi mmegongewa tu ni shida mnoo na hamna ht msamaha..

Ila ninyi mnafanya na mnasamehewa..

Kwa nn hamridhiki lakini na wake zenu...!!????

Mungu anawaona lakini na ss wadada tunawakubali tu hakuna namna usawa ushakaba huu!Japo ni waume za watu!

Au ndo ule msemo MWANAUME BILA NYUMBA NDOGO NI SAWA NA TAIFA LISILO NA UPINZANI..!!

Ila taifa lisilo na upinzani lawezekana tu si km Korea Kaskazini!
the!
wauliza swali wakati huo huo wajipa majibu.
kama ulivyosema ni kwamba haturidhiki.
 
Nina mpenz wangu tukilala ukitaka mambo yetu ya kikubwa a nakwambia anaumwa. Mala subilia kwanza ni pumzika. Mala anakuzushia case ukasilike Kama wewe ungefanyaje.nikuchepukatu.
Kama mwanaume ulokamilika hadi kichwani ulipaswa kuchunguza tatizo haswa hapo ni nini ili ulitafutie suluhu.
Ukute ndio wale ukishapiga kamoja chaliii, unamuacha mwenzio na ugwadu wake, mwisho anajionea ya nini sasa kuchafuana. Kukataa ni njia ya kukufikishia ujumbe.
 
Tiba sahihi ya mwanamke mkorofi ni mwanamke mwenzake tu that's it, hili limethibitishwa kitaalam dunia nzima na wanazuoni wote.
'Wanazuoni wote', basi sawa.
I hope umetibu tatizo ulipochepuka.
 
Hao wasiochepuka labda ni wawili kati ya mia.hata kwenye kundi la ng'ombe hukosi punda.
Hata angekuwa mmoja tu, suala ni kuwa inawezekana, jambo baya likifanywa na wengi haihalalishi jambo hilo, litabaki kuwa baya tena baya sana.
 
geniveros, kusema kwamba wanaume wamezidi ni uwongo.
njoo hapa:
kama kuchepuka huhusisha jinsi mbili, yaani mke na mme, maana yake mwanaume mmoja akichepuka mke mmoja pia amechepuka(refer: hii ishu inahusisha watu wawili). being so, wakichepuka wanaume 100, wanawake 100 pia wamechepuka.
so uko wapi uzaidi wa wanaume kwenye kuchepuka?
Sio lazima wanawake mia wawe wamechepuka, weka rekodi yako sawa.
 
Kinachochekeshaga jamani ukiona michepuko ya watu lazma ucheke, wanaume kwa hili ajabu mnaongoza kombe ni lenu
 
Mkiolewa mnadengua sana mambo mnatoa kwa ubanizi, viuono mnaweka ambao yaan magogo. Mnanepepeana kama miguruwe tukiwaambia mfanye mazoez mnakuwa wakali.halafu heshima mnapunguza na vibur vinawajaa. Mlikuwa kila wiki mnajinunulia chupi mkiolewa mpaka zinakuwa nyekundu katikati. Mchepuko aah akisikia unakuja mwee aisugua na still wire mpaka inanoga. Mchepuko anajua Julia hata kam ni kiwizwiz, anakatika

,hahahahahah
 
Habari wakuu
Kuna jambo linanitatiza sana, sjui ni ushamba wangu au vipi.

Hivi mwanaume hawezi kuwa kwenye mahusiano au ndoa bila ya kuwa na mchepuko? Unakuta jamaa ana mke mzuri tu ana tabia njema, sura, rangi, chura mash Allah lakini bado anachepuka na sio kwamba hampendi MKE wake LA! Anampenda tena sana tuuu...

Sasa niwaulize nyie wanaume kwanini mwachepuka ati?
 
A man can cheat on his woman and still love her but a woman cannot cheat on her man and still love him. I say this because while men do not have sex with emotions, women can't have sex without attaching emotions to it. This is the reason men simply need a place to have sex while women need a reason to have sex.
Most women who take their husbands to court for divorce are those that cheat on their men. A non cheating woman would most likely never take her husband to court for divorce, unless the man exceedingly abuses her physically and emotionally to the point of killing her.

Men don't equate sex with love. A man can have sex with another woman but still doesn't love her. That's why women who fell in love with married men find it difficult to find happiness in those relationships as they are just being used by those married men. But once a married woman starts sleeping with you, she can even narrates some hidden secretes concerning her husband and she will even tell you why she hates him (her husband). She can even accept poison from you to eliminate her husband.

For men, sex and love are two different things. But for women, sex and love are one and the same things. For men, sex comes first before love (infatuation), but for women love comes first before sex (true love). Therefore, once your woman starts having sex with another man/men, her love shifts from you to that man and she can even start giving that man the best food and love than she gives you.

The fact that your man is cheating on you doesn't mean he has stopped loving you. But I can't say the same for women. Once a woman starts cheating on you, she has fallen for someone else and you people will never live the same again. And she can even kill her husband once she starts cheating on him.
If your wife starts cheating, you should be a lucky man not to die in less than 10 years. It has been found that 95% of women who cheat wish their husbands dead. That is the main reason why it is dangerous for a man to continue staying with a wife who cheats on him. That is why is now encouraged everywhere in the world including in the Bible, for a man to divorce his wife only once she starts cheating on him. Cheating women are more deadly to husbands than ordinarily criminals or weapons. There are many cheating women in the world who invite criminals to break into her house at night only to come and eliminate her man and police officers plus relatives can't detect this as the same woman tend to moan more than any person at the funeral so as to attract sympathy and hide her evil acts.

That's why psychologists discourage women,more than men, from cheating.

Women can't handle the emotional conflict that comes with cheating.

That's the reason an observant and intelligent man will notice that his wife has started cheating on him once he starts doing it because most women tend to lose respect to their husbands and try to avoid sex with them in most times.

Cheating Women will even be giving excuses for not wanting to have sex with their husbands. Study has revealed that nearly 90% of women who cheat find it hard to have enjoyable sex with their husbands, again an intelligent man will detect this once his wife's behavior with regard to sex start changing. But a dull man can never detect this and always tolerate fake excuses from his cheating wife until he is completely eliminated.

Women can't cheat on their partners with people they are not emotionally involved with. They attach emotions to everything. That's why you can't always trust their judgment. When a joke is cracked,most women who laugh are not laughing because the joke is funny but because they like the person who cracked the joke. If they don't like you, no matter how funny your joke may be, they won't laugh, but when a man laughs at a joke, it's because the joke is funny, not because he likes the comedian. Men are not always sentimental and emotionally involved.

Study has shown that every relationship begins to flounder once a woman starts cheating. There are many men who cheat on their partners but still show them true love. But it is very hard to find a relationship in which a woman is cheating and things still remain the same.

I repeat, nearly 100% of cheating women wish their husbands quick death or divorce to have unlimited sex freedom while nearly 100% of cheating men can't wish their wives quick death or divorce. That is why most men cant allow their wives to be physically or verbally abused by their girlfriends. Men will always stand for their wives.

A man would cheat but still love and respect his wife, but the opposite is true with cheating women.

Once your wife starts sleeping with other men/man, just know that your death is near.

R.M - Professor of Psychology
Ohio State University - USA
 
Back
Top Bottom