Kwanini wanaume huwa na michepuko?

Kwanini wanaume huwa na michepuko?

Hata Mitume Wa Mungu Walioa Wake Huko Nyuma Hili Linadhihirisha Kua Hii Ni Nature Ya Mwanaume Kutoridhika
 
Response za wadau ziko konki sana[emoji3][emoji3][emoji3]
That is to say, kama unafanya utafiti wa hizo mpango wa kando viashiria vya awali juu ya aina za findings venye zitakua ushavipata ![emoji2955]
 
Acha ubinafsi wewe! Wenzako wamekosa bahati ya kuolewa kama wewe sasa unataka hata mgegedo wasipate?
 
Back
Top Bottom