Kwanini wanaume huwa na michepuko?

Kwanini wanaume huwa na michepuko?

My dear Cyan6 nahisi umeniquote vibaya,
wallah sijasema hayo wangu,hebu rejea hiyo comment uliosoma nimejustify,
mimi i don't entertain a cheater,once umecheat nikajua,it's over regardless of the consequences.

Then get married to Jesus Christ.
 
Tena wanaume wanahongwa wanawake wanahonga!!hapo chacha yakifanywa mashindano nani zaidi

Unanifurahisha unavorudi kwenye reality na kuachana na mambo ya kufikirika. It takes two to tango. Wanaume hawacheat na mbuzí, bali na binadamu wenzao wa jinsia pinzani. na kama ujuavyo asilimia kubwa ya wanawake wako kwenye mahusiano. Yawe rasmi au laa. Wote wezi watupu!!!!
 
Unanikumbusha ule wimbo wa Kandi "Don't Think I'm not". Mnafikiri wake zenu ni generation ya mama zenu. A woman knows, basi tu wanawaachia sababu wanajua hata mkiwakamata siku moja itabidi usamehe sababu wanajua you are also guilty. All the best. Muda wa familia mnapata wapi kama bado wakimbizana na watu huko nje?

FYI hakuna midume inayojali familia zao kama michepukaji. I tell you me.

Umenifurahisha kwa kusema ukweli. Wanawake wengi wanajua midume yao inacheat. Wengine wanavumilia, wengine wanakosa ushaidi. kama pia ambavyo wanaume wengi wanajua wake zao huchepuka sema tu hawana muda na wengine hawataki kufuatilia.

binadamu hachungiki wala hafugiki. huo ndo ukweli halisi.
 
Unanifurahisha unavorudi kwenye reality na kuachana na mambo ya kufikirika. It takes two to tango. Wanaume hawacheat na mbuzí, bali na binadamu wenzao wa jinsia pinzani. na kama ujuavyo asilimia kubwa ya wanawake wako kwenye mahusiano. Yawe rasmi au laa. Wote wezi watupu!!!!

Mimi sijapingana na wewe..isupokuwa sehemu Moja tuu ya kuongelea couple zote kuwa zipo hvyo as if unazijua zote.na unasema pia wanaume na asili yenu tfaut na wanawake kitu ambacho ni uongooo..pia usimtukanishe yesu atuoe?..be careful huo ukuaji wako usikuponze.
 
You don need to be rude Asprin

Sorry my love. Nlitaka tu nikuambie mwanaume wa dizain unayemtaka, labda awe Yesu. Kumpata wa namna hiyo ni almost impossible. Mr. Nice guys wako kwenye tamthilia tu. In real life ni ngumu sana mpendwa.
 
Mimi sijapingana na wewe..isupokuwa sehemu Moja tuu ya kuongelea couple zote kuwa zipo hvyo as if unazijua zote.na unasema pia wanaume na asili yenu tfaut na wanawake kitu ambacho ni uongooo..pia usimtukanishe yesu atuoe?..be careful huo ukuaji wako usikuponze.

Kuolewa na Yesu.... Hahah usinambie hata hako kamsemo kamekupiga chenga. Wanavyosema Yesu ni Jibu we huwa unatafsirije mpendwa??? Kwamba yawezekana 1 + 1 = Yesu? Usikwazwe na huo msemo, nlikuwa nataka nimfahamishe bibie kuwa mwanaume wa dizain anayotaka ni vigumu sana kumpata, ni kama vile angetaka kuolewa Yesu.

Samahani kama nimekukwaza.
 
Sorry my love. Nlitaka tu nikuambie mwanaume wa dizain unayemtaka, labda awe Yesu. Kumpata wa namna hiyo ni almost impossible. Mr. Nice guys wako kwenye tamthilia tu. In real life ni ngumu sana mpendwa.

Nimekusikia
 
Kuolewa na Yesu.... Hahah usinambie hata hako kamsemo kamekupiga chenga. Wanavyosema Yesu ni Jibu we huwa unatafsirije mpendwa??? Kwamba yawezekana 1 + 1 = Yesu? Usikwazwe na huo msemo, nlikuwa nataka nimfahamishe bibie kuwa mwanaume wa dizain anayotaka ni vigumu sana kumpata, ni kama vile angetaka kuolewa Yesu.

Samahani kama nimekukwaza.
Sa unikwaze mie kwani mkeo?hahahahaa..my lungs jamani mie nakuhurumia tuu jinsi ambavyo ukuaji unakusumbua.wanaume Malaya Kwa nature katu hawajitapi hadharani ..that ain't their move a bit""we unajifunza usijali utakua hyo taarfa unayonipa ya uongo danganya watoto wenziooo
 
Nakubaliana na wewe,huwa najiuliza maybe wanafikiri ndoa ni rehearsal na kwamba kitu halisi is yet to come,
wanatuumiza sana tena sanaaa

Usiumie dear ..sio kweli kuwa wote wapo hvyo..sio Kabsaa mie nawajua kibao wapo faithful and wanaheshmu wake zao.usiumie Kwa maneno ya umu jf kna watu Wa kila aina..vbaka,maboya,Malaya,walevi,wavta bangi etc etc ..na wanaojielewa pia wapo.sasa kila mtu ukimskiliza unachukulia ndo wanaume wte wapo hvyo utajiumiza bure..you just bullshit achana naoo
 
Usiumie dear ..sio kweli kuwa wote wapo hvyo..sio Kabsaa mie nawajua kibao wapo faithful and wanaheshmu wake zao.usiumie Kwa maneno ya umu jf kna watu Wa kila aina..vbaka,maboya,Malaya,walevi,wavta bangi etc etc ..na wanaojielewa pia wapo.sasa kila mtu ukimskiliza unachukulia ndo wanaume wte wapo hvyo utajiumiza bure..you just bullshit achana naoo

Thanks my dear
 
Kumbe hata nyie mnachoka? nilifikiri ni sisi peke yetu! Basi ni vizuri kuambizana ili tukichepuka tusileteane magonjwa na watoto wa nje

Tukichepuka tunatumia protection ili tusilete magonjwa kwenye familia
 
13 years old, pregnant and HIV-positive




The World Health Organisation, through its Global Health Observatory unit, ranks Sub-Saharan Africa as the most severely affected region in the world by sexually transmitted diseases, with nearly one in every 20 adults living with HIV. That number accounts for 71 per cent of the people living with HIV worldwide. FILE PHOTO

By Verah Okeyo

In Summary

* In revealing that information to us, he acknowledges that he is breaking a confidentiality that he shouldn’t, but what is the law of confidence when his people are living like this?
* And now sociologists, psychologists, parents and others who play a part in children’s development wager that it will take more than pills, condoms and information about sex to tame the situation.


In his 30 years as a pastor in Uriri in Migori County, Chrispinus has never found a practical solution to many of the problems facing his congregation.

He knows that, as a religious leader, he is expected to provide solutions that ease the pains of his people; but try as he may, the burdens keep growing.

For him, however, nothing could be more painful than the girl standing in front of him when we walk into his church for an interview.

She is 13, he tells us.

And pregnant.

And HIV-positive.

In revealing that information to us, he acknowledges that he is breaking a confidentiality that he shouldn’t, but what is the law of confidence when his people are living like this? Just two days earlier he had presided over the funeral of a girl a bit younger than the one standing before him now. She had died of birth-related complications.

He is sad, this pastor. Sad and angry. His sermons are no longer about salvation and “thou shall not”, but, like many other Kenyan parents, all about teenage sexual promiscuity and what it is doing to an entire generation. Parents are standing in between the bubble of curiosity that is their children, and Pastor Chrispinus is finding himself with a heavy cross to bear.

It is getting worse, sadly. Recent findings indicate that children have their sex debuts as early as eight years in Kenya, and most of them do not know what contraception is, leave alone how to spell the word.

The World Health Organisation, through its Global Health Observatory unit, ranks Sub-Saharan Africa as the most severely affected region in the world by sexually transmitted diseases, with nearly one in every 20 adults living with HIV. That number accounts for 71 per cent of the people living with HIV worldwide.

Then there are the unwanted teenage pregnancies that Chrispinus is dealing with in his community: of the 7.3 million girls giving birth between the age of 15 and 19 globally, 103 in every 1,000 are Kenyan, according to the Kenya Population Situation Analysis, released in October last year.

So, what is happening? Why are children as young as eight having sex? The answer is simple: in the current age, there are plenty of opportunities for them to act on their curiosity regarding sex; from the overnight church vigils and family get-togethers they attend to end-of-year parties, which are usually marked by drunkenness and what some observers have called “teen sex orgies”.

Faced with this predicament, Family Health Options Kenya last year proposed that contraceptives such as condoms be introduced in schools, alongside sex education. The proposal was met with vehement opposition, particularly from religious circles.

But that was expected; the National Council for Population and Development (NCPD), a semi-autonomous government agency that formulates and promotes population policy in Kenya, cites religious and cultural taboos as the biggest impediments to open dialogue about premarital sex at home and in schools, despite the fact that such sexual activity has become rampant.

And now sociologists, psychologists, parents and others who play a part in children’s development wager that it will take more than pills, condoms and information about sex to tame the situation.

Dr Charles Muga, a behavioural scientist and sociologist based in Kisumu who has studied human behaviour in urban and rural settings for over 20 years, says these ideologically driven restrictions will only make the situation worse.

“Christians, Muslims and any other religious group in Kenya must get involved in this discussion,” he says. “We cannot place so much value on virginity and piety with scriptural statements like sex is wrong before marriage. Explain to these children the responsibility that they are about to place on their hands by having sex, and tell them why you are saying sex is wrong because the media and the Internet are giving them all the wrong answers to the ‘why’ question, then ask them to go think about what you have said, and they will listen.”

Mrs Mary Wainaina, a mother of five and a counseling psychologist in Nakuru, agrees with Dr Muga’s observations, saying that the parenting methods in this generation have left a huge ‘developmental dent’ in the lives of children.

“Parents are giving their all chasing after money,” she says. “They are too busy with their own ambitions that they cannot notice that their children have reached the age when they know children are not bought from the supermarket.”

Yet, even as their young ones mature faster and learn stuff at an early age, parents still cling to their ultra-conservative roots. When Family Health Options proposed the introduction of contraceptives and sex education in primary schools last year, for instance, the reaction was so hostile that the organisation’s director refused to talk to DN2 about how they hoped to address the issue. Even gynaecologists and other health practitioners refused to comment on FHOK’s proposal as, they argued, they feared losing their patients on moral grounds should they be seen to support the suggestion.

But Dr Charles Muga says that, even though contraceptives work well, they may not, by themselves, solve the crisis at hand if the causes are not addressed. “It is important to understand the dynamics and determinants of a young Kenyan’s sexual behaviour within the social context of where his or her sexual encounters occur to design effective prevention interventions,” he says.

The drivers of sexual behaviour among older adolescents and young adults have been widely studied in Sub-Saharan Africa, but there is scarce information on sexual behaviour among very young adolescents. And, while the nature of the early sexual debuts is not clear, it is worth noting that a substantial percentage of these children engage in transactional or coerced sex.

Transactional sex means the children are having sex in order to earn money or food, while coerced sex occurs when the young children live in abusive environments or are influenced by peer pressure. Not all of the sexually active children, therefore, consented to it in the first place.

Among the first studies to examine a wide range of social, demographic and psychosocial predictors of sexual debut among 12–16-year-olds was conducted by the Guttmacher Institute, a US-based non-profit organisation that works to advance reproductive health. In the study, correlates of sexual experience included increasing age, low religiosity, having sexually active peers, substance abuse, and liberal attitudes towards premarital sex.

Other studies, such as one conducted by the African Population and Health Research Centre in 2012 in Brazil and Kenya, suggest that there are protective factors, such as having a father present in the home, that are associated with delayed sexual debut and fewer incidences of unintended pregnancy among adolescents in slum communities.

Kenyan parents, therefore, have so much on their plates, thanks to urbanisation and modernisation, says Dr Muga. And, to make matters worse, sexuality is today presented to young children in a manner that plants ideas into their curious minds.

“Also, because of economic challenges, urban parents share small spaces with their children, leaving them with little privacy for their own intimacy,” adds Dr Muga.

That observation is supported by the Guttmacher Institute, whose survey in Kenya shows that, among other factors in Nairobi’s informal settlements, the little spaces within which teenagers live with their parents contribute to earlier sexual debuts compared with those who live in bigger homes.

To make matters worse, “this is the generation that lives by the motto YOLO — You Live Only Once — so they place value on instant sexual gratification than responsible behaviour such as abstaining until marriage or being faithful to one partner, which has long-term positive results,” adds Dr Muga.

As a result of that YOLO attitude and the lack of communication between children and their parents, teenage pregnancy is now quite prevalent. The Kenya Demographic and Health Survey (KDHS) of 2003, carried out by the Central Bureau of Statistics in partnership with the Ministry of Health, revealed a daily abortion rate of about 800 and the deaths of 2,600 women every year. Fifty per cent of these involved girls aged between 14 and 24, and 57 per cent of them lived in urban areas.

These figures are raising a stink at the highest level of policy development. Dr Gottfried Hirnschall, the Director of WHO’s HIV/Aids Department, says adolescents “face difficult and often confusing emotional and social pressures as they grow from children into adults”, and therefore require health services and support tailored to their needs. His advice points to the role of parent-adolescent communication in taming the practice.

And he might be bang on the money; because parents or guardians who discuss with their children about puberty, relationships, delayed sex, impact of early sexual debut, teenage pregnancy and HIV report a lower likelihood of their children having early sexual debut as compared to those who do not. Parent-child communication is therefore an unexploited avenue for improving sexual and reproductive health outcomes for young people.

Access to education has also be an alternative to delaying sexual debuts, or enhancing responsible sexual behaviours among youth. The Kenya Demographic Health Survey of 2003 showed that the level of education was strongly related to age at first sex, with about 25 per cent of women aged between 15 and 24 years who had no education reporting sexual activity by age 15, compared to only four per cent among those with at least some secondary education.

But, even where communication is okay and teenagers are aware of what to do and what not to, opposition from religious and community leaders and policymakers often prevents young people from accessing the services they require, NCPD’s report indicates.

And providers’ negative attitudes about adolescent sexuality and the rights of young people create major barriers that prevent young people from accessing these services.

Surveys and all manner of reproductive health research continue to show that the youth no longer place much value on virginity as they used to, say, 20 years ago. That means that, if children are not raised in an environment that they are allowed to develop normally, where they are taught the dangers of their behaviours, and where their guardians take an active role in moulding their lives, soon or later those parents will have their 13-year-olds, like the one at the beginning of this story, standing before them crestfallen, pregnant and HIV-positive.


Do you agree? Send your comments to dn2@ke.nationmedia.com

13 years old, pregnant and HIV-positive - DN2 - nation.co.ke
 
Usiumie dear ..sio kweli kuwa wote wapo hvyo..sio Kabsaa mie nawajua kibao wapo faithful and wanaheshmu wake zao.usiumie Kwa maneno ya umu jf kna watu Wa kila aina..vbaka,maboya,Malaya,walevi,wavta bangi etc etc ..na wanaojielewa pia wapo.sasa kila mtu ukimskiliza unachukulia ndo wanaume wte wapo hvyo utajiumiza bure..you just bullshit achana naoo

Uhmm fanya utafiti my dear, wapo wanaume wengi machoni mwa watu ni watakatifu sana, lakini ukweli wanaujua wao na Mungu, kuna wanaume wengi wanaheshimu wake zao na hata siku moja mke hatakuja ku notice, Jirani au rafiki hatajua chochote, na wanawake anatafuta wa mbali... Mtamuona mtakatifu siku zote... Wanaume wengi na kwa asilimia 99 wanachepuka tu ile mbaya, kubali usikubali unajipa moyo tu my dear
 
Uhmm fanya utafiti my dear, wapo wanaume wengi machoni mwa watu ni watakatifu sana, lakini ukweli wanaujua wao na Mungu, kuna wanaume wengi wanaheshimu wake zao na hata siku moja mke hatakuja ku notice, Jirani au rafiki hatajua chochote, na wanawake anatafuta wa mbali... Mtamuona mtakatifu siku zote... Wanaume wengi na kwa asilimia 99 wanachepuka tu ile mbaya, kubali usikubali unajipa moyo tu my dear

Na hiyo asilimia 99 we umeijuaje?
 
Mim ni mwanaume and most of men i know arent faithful as u think... 99 namanisha kuwa ni asimia kubwa japo it's not scientifically researched... What i mean is that the majority of men hatubaki njia kuu
 
asilimia
nyingi ya wanaume si waaminifu na ndio chanzo cha matatizo katika family huo
ndio ukweli na hii ni kwa ulimwengu wote si afrika peke yake
 
Mim ni mwanaume and most of men i know arent faithful as u think... 99 namanisha kuwa ni asimia kubwa japo it's not scientifically researched... What i mean is that the majority of men hatubaki njia kuu
Umesema rafki,jirani,etc hawez kujua..yet unasema asilimia kubwa hawabaki..wewe umeijuaje hyo asilimia kubwa?unless uniambie uwa unaenda kuwashika miguu hao 99 %wteee..ntakuelewa..na mie wengi ninao wajua wanabaki..anyway ..embu niambie..tukiachana na data..unadhani hvyo unavyofanya wewe ni vzuri?
 
Back
Top Bottom